Minaki Media

Minaki Media Dawati la Siasa

09/08/2026

19/07/2026

MINAKI MEDIA - HABARI
DAR ES SALAAM - Menejimenti ya Minaki Media yampongeza Cde. SOSTENES KOMBA kwa kuteuliwa kuwa
Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi, DARUSO.

Tunamtambua k**a kiongozi imara na mwenye maono na tunamtakia utumishi mwema.

Hongera kiongozi!
Imetolewa na Minaki Media
15 Julai, 2026

19/07/2026

MINAKI MEDIA - HABARI
SHINYANGA - Dkt. Yustina Adam Tizeba achaguliwa Katibu wa Kamati ya Wanawake TUGHE Mkoa wa Shinyanga.

Uchaguzi huo ulifanyika tarehe 15 Julai, 2026 katika Ukumbi wa Akemi, Shinyanga Mjini.

Imetolewa na Minaki Media

17/07/2026

Je! Unaamini? Toa maoni yako
Like &Follow us Minaki Media Minaki Media

SHINYANGA- Ndugu Herieth Michael Mayunga amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali n...
16/07/2026

SHINYANGA- Ndugu Herieth Michael Mayunga amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) Taifa kutoka Mkoa wa Shinyanga.
Uchaguzi huo umefanyika katika Mkutano Mkuu wa Mkoa na kumwezesha kumwakilisha wanachama wa TUGHE Shinyanga katika ngazi ya taifa.
Akizungumza baada ya kuchaguliwa, Ndg. Mayunga ameahidi kushirikiana na uongozi wa TUGHE Taifa katika kutetea maslahi ya wafanyakazi na kuimarisha mshik**ano ndani ya chama.
Imetolewa na: Minaki Media
&follow us Minaki Media

  MEDIA - HABARI SHINYANGA - Ndugu Anectus Asingizibwe Blasio amechaguliwa kuwa Mwakilishi wa Watu Wenye Ulemavu, TUGHE ...
15/07/2026

MEDIA - HABARI
SHINYANGA - Ndugu Anectus Asingizibwe Blasio amechaguliwa kuwa Mwakilishi wa Watu Wenye Ulemavu, TUGHE Mkoa wa Shinyanga katika mkutano mkuu uliofanyika leo Ukumbi wa Akemi, Shinyanga.

Akizungumza baada ya kuchaguliwa amesema:
"Ushindi huu ni mwanzo wa safari mpya ya kuwatumikia watumishi wenye ulemavu Mkoani Shinyanga."

Ndg. Blasio ameahidi kutetea maslahi ya watumishi wenye ulemavu, kuimarisha ushirikiano na wadau, na kufungua fursa zaidi kwa watu wenye ulemavu Mkoani Shinyanga, akiwashukuru wajumbe kwa kumpa kura na imani.
Imetolewa na Minaki Media

11/07/2026

Appreciations to Minaki Media for the recognition.

18/06/2026

HERI YA SIKU YA KUZALIWA CDE ANECTUS BLASIO

Uongozi wa Minaki Media unamtakia heri ya siku ya kuzaliwa Cde Anectus Blasio, Katibu Mkuu Msaidizi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF), Mwenyekiti wa Mwalimu Blasio Foundation, Mwenyekiti wa Tasisi ya Wahitimu Sekondari ya Minaki - Minaki Alumni Organization, na Naibu Katibu wa Sauti Parasports Club.

Tunathamini uongozi wako thabiti na mchango wako usio na kifani katika kukuza michezo kwa watu wenye ulemavu, kuhudumia jamii, na kuunganisha wahitimu wa Minaki. Uwezo wako wa kuhamasisha na kuongoza umekuwa chachu ya mabadiliko chanya kwa wengi.

Tunakuombea afya njema, hekima, nguvu, na baraka tele ili uendelee kuwa mwanga kwa taifa. Uishi miaka mingi yenye mafanikio, amani na furaha tele pamoja na familia yako.

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Kiongozi!
Imetolewa na:
Uongozi wa Minaki Media

Shinyanga – Katibu Mkuu Msaidizi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF), Mhe. Anectus As...
18/06/2026

Shinyanga – Katibu Mkuu Msaidizi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF), Mhe. Anectus Asingizibwe Blasio, amefunga ndoa na Bi. Elivila Ajuna Elipidius.

Misa Takatifu ya Ndoa Takatifu iliadhinishwa Ijumaa, tarehe 12 Juni 2026 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Ndala, Mkoani Shinyanga. Sherehe ilihudhuriwa na maelfu ya watu wakiwemo viongozi wa serikali, viongozi wa TAFF, ndugu na marafiki.

Baada ya Misa Takatifu, sherehe za kijamii ziliendelea katika Ukumbi wa Lyakale, Ndala. Viongozi wa TAFF walimpongeza Mhe. Asingizibwe na kumuombea baraka katika maisha yake mapya ya ndoa.

Akitoa shukrani, Mhe. Asingizibwe alisema, “Ninamshukuru Mungu na kila aliyesimama nasi, Mwenyezi Mungu awabariki sana:.

Address

255
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Minaki Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

l="false"> Add listing
  • Login
  • Subscribe

    We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.