Anectus Asingizibwe

Anectus Asingizibwe Lates Breaking News, Politics, Business, Sports, Entertainment with critical analysis 24/7 Global updates. OTHER FUNCTIONS OF THE PAGE.

Anectus Online is online platform for empowerment which is operating globally currently in more than 11 nations in partnership with page administrators from different nations.

believe on empowering others for rising the future.

are in progress to partner with inter national high profile online personnel's to collaborate on the efforts to ensure our programs get to be of impact to many. T

his is the president of Anti corruption Platform working to rise awareness to mass on efforts to eradicate corruption. Serving to the University of Dar es salaam in Tanzania/ East Africa and General Public around Tanzania communities. we are passionately standing and working as the team to ensure fairly equal society that respects human dignity and right, rising spirit of concern to others and their right. we work to rise voice to the voiceless.

We gained 1,892 followers, created 7 posts and received 14 reactions in the past 90 days! Thank you all for your continu...
16/10/2025

We gained 1,892 followers, created 7 posts and received 14 reactions in the past 90 days! Thank you all for your continued support. We could not have done it without you. 🙏🤗🎉

  Ndege iliyobeba wajumbe wa Kenya yenye mwili wa Raila Odinga kutoka India imekuwa ikifuatiliwa zaidi duniani kwenye Fl...
16/10/2025


Ndege iliyobeba wajumbe wa Kenya yenye mwili wa Raila Odinga kutoka India imekuwa ikifuatiliwa zaidi duniani kwenye Flightradar24.

Mara tu baada ya kupaa saa 6:30 jioni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) jijini Nairobi, ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Kenya KQA202 hadi Mumbai ilikuwa ya pili kwa kufuatiliwa duniani kote kwenye huduma maarufu ya kufuatilia trafiki ya moja kwa moja.

Kufikia saa sita usiku, ilikuwa imefuatiliwa zaidi duniani kote, ikiwa na zaidi ya watu 7,000 wakiifuatilia.

Ndege ilifika Mumbai mwendo wa saa 1 asubuhi Alhamisi, Saa za Afrika Mashariki (EAT), na kupaa kuelekea Nairobi saa tis ana nusu Alfajiri saa za Afrika Mashariki. Inatarajiwa kutua uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta mwendo wa saa 9:30 asubuhi

Saa 7 asubuhi, data ya Flightradar24 ilionyesha kuwa ndege ya kurudi KQA203 ilikuwa ikifuatiliwa na zaidi ya watu 5,000.

KQ imesema kuwa ndege hiyo itabadilishwa jina kuwa RAO001, rejeleo la herufi za jina la Odinga, mara tu itakapofika kwenye anga ya Kenya "kumheshimu na kumheshimu kiongozi wetu aliyeondoka."

Like &Follow us

  Msanii wa muziki na filamu Agness Suleiman  amepokea Tuzo ya Muigizaji Bora wa K**e wa Mwaka 2025 'Achievers Awards In...
14/10/2025

Msanii wa muziki na filamu Agness Suleiman amepokea Tuzo ya Muigizaji Bora wa K**e wa Mwaka 2025 'Achievers Awards International' ya nchini Nigeria kutokana na kazi zake za sanaa na shughuli za huduma kwa jamii.

Tuzo hii ni alama ya ushirikiano wa filamu kati ya Tanzania na Nigeria na waandaaji wa tuzo hizi wanavutiwa na filamu za Tanzania kwenye utamaduni wetu, amani na ushirikiano unaooneshwa ikiashiria alama ya utu wa mwafrika.

23/09/2025

Mwanariadha Alphonce Felix Simbu wa Tanzania amepewa mapokezi ya kishujaa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Septemba 23, 2025 baada ya kuitoa kimasomaso nchi yake katika mashindano ya dunia yaliyofanyika Tokyo, Japan.

Shujaa huyo, alitwaa medali ya dhahabu baada ya kushika nafasi ya kwanza katika mbio za marathon za wanaume zilizofanyika usiku wa kuamkia Septemba 15, 2025 jijini Tokyo.

Simbu alishinda mbio hizo za kilomita 42 ndani ya muda wa 2:09.48, akimaliza mbele ya Amanal Petros wa Ujerumani.

Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar e...
23/09/2025

Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi.

Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo abiria hao walikuwa wakitokea Kimara kuelekea katikati ya jiji.

Baadhi ya abiria walikuwa wametokeza vichwa na sehemu za miili yao nje ya madirisha na wengine kukaa juu ya basi hilo huku wakiimba nyimbo mbalimbali, zikiwemo zenye maneno ya malalamiko k**a vile "hatumtaki!"

Chanzo cha hali hiyo kinadaiwa kuwa ni changamoto kubwa ya usafiri katika maeneo ya Kimara na Mbezi, ambapo abiria wanasema wamekuwa wakikaa vituoni kwa muda mrefu tangu alfajiri bila kupata magari ya kutosha kuwapeleka mjini.

Chanzo Nipashe

Kocha Hemed Suleiman kuwa kocha wa muda.
22/09/2025

Kocha Hemed Suleiman kuwa kocha wa muda.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amemkabidhi gari mpya aina ya Crown kipa wa klabu ya Simba na timu ya Tai...
22/09/2025

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amemkabidhi gari mpya aina ya Crown kipa wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ha Tanzania (Taifa Stars) k**a alivyoahidi hapo awali wakati wa michuano ya CHAN.

“Nimetimiza ahadi yangu ya kumzawadia Crown mpya kabisa mlinda mlango wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Ndg Yakoub Suleiman kufuatia juhudi kubwa aliyoinyesha katika kipindi chote cha mtanange wa CHAN”___ Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila.

28/01/2025
Mratibu Minaki Marathon ashiriki Maendeleo Bank Marathon, karibuni MINAKI MARATHON 23/11/2024 Kisarawe,Pwani
08/09/2024

Mratibu Minaki Marathon ashiriki Maendeleo Bank Marathon, karibuni MINAKI MARATHON 23/11/2024 Kisarawe,Pwani

Eee Mungu tujaze unyenyekevu na busara katika meza za mazungumzo na jitihada kutimiza malengo ya Minaki Marathon: Miaka ...
07/09/2024

Eee Mungu tujaze unyenyekevu na busara katika meza za mazungumzo na jitihada kutimiza malengo ya Minaki Marathon: Miaka 100 kuanzishwa Sekondari ya Minaki, ndimi mtumishi wako nisiyestahili niliye mdogo kuliko wote naomba kauli ya hekima mbele za wakuu wa nchi na jamii ya Tanzania kufanikisha hili.
K**a si leo na ikawe kesho

Tunakwenda kuwakilisha Taifa, tunakwenda kuwakilisha makundi maalumu ni heshima kupeperusha bendera ya Taifa KILIMANJARO...
06/02/2024

Tunakwenda kuwakilisha Taifa, tunakwenda kuwakilisha makundi maalumu ni heshima kupeperusha bendera ya Taifa KILIMANJARO INTERNATIONAL MARATHON 2024
K**a si leo na ikawe kesho* 🤲🧎🏽

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Anectus Asingizibwe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Anectus Asingizibwe:

Share