Tonny_Updates

Tonny_Updates Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tonny_Updates, Digital creator, Dar es Salaam.

11/10/2023

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa kupunguza uzito na upasuaji rekebishi (Bariatric and Reconstructive surgery) ambao utahusisha kupunguza mafuta na kurekebisha sehemu ya mwili mfano kupunguza au kuongeza ukubwa wa matiti na makalio, kupunguza tumbo au nyama kwenye mikono na sehemu nyingine za mwili.

Mkuu wa Idara ya Upasuaji Dkt. Eric Muhumba amesema upasuaji huo utaanza kufanyika kuanzia October 27,2023 na utafanywa na Wataalamu wa MNH-Mloganzila kwa kushirikiana na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa kupunguza uzito na Upasuaji Rekebishi kutoka India, Dkt. Mohit Bhandari pamoja na MedINCREDI.

“Upasuaji huu utafanyika kwa bei nafuu sana ukilinganisha na endapo Mtu angeenda kutafuta huduma hizi nje ya Nchi, hivyo tumeamua kuwasogezea Wananchi huduma hizi na kuwapunguzia usumbufu wa kusafiri nje ya Nchi kutafuta huduma hizi”

Je wewe ni mfanya biashara na unahitaji huduma ya lipa kwa simu...? Lipa kwa simu itakusaidia👉Kutoa pesa bure kwa wakala...
29/09/2023

Je wewe ni mfanya biashara na unahitaji huduma ya lipa kwa simu...?

Lipa kwa simu itakusaidia
👉Kutoa pesa bure kwa wakala...
👉Utapokea pesa kutoka mitandao yote kwa wateja wako...
👉Inakufanya biashara yako ikue na kuwafikia wote hata wale ambao hawana cash...
👉Hautakuwa tena na shida ya kutembea na burungutu la pesa au kuomba chenji...
👉Ni rahisi,salama na inaweza kutumiwa na kila mtu...

Ikiwa unahitaji lipa namba ya Vodacom au Airtel Karibu sana nikuhudumie...

Wasiliana na mimi 0747835068

Airtel Pocket Wi-Fi...Inaunganisha mpaka vifaa 10...Kasi ya internet ni mpaka Mbps 150...Inakaa na chaji muda mrefu...Un...
29/09/2023

Airtel Pocket Wi-Fi...
Inaunganisha mpaka vifaa 10...
Kasi ya internet ni mpaka Mbps 150...
Inakaa na chaji muda mrefu...
Unaweza kutembea nayo popote uendapo...
Inakuja na ofa ya SME menyu...

75,000/- tu
WhatsApp 0747835068

Je una namba ya NIDA na hujapata kitambulisho chako bado???Karibu upate kitambulisho cha NIDA kwa 15,000/- tuuWasiliana ...
26/09/2023

Je una namba ya NIDA na hujapata kitambulisho chako bado???

Karibu upate kitambulisho cha NIDA kwa 15,000/- tuu

Wasiliana nasi 0747835068

Tangaza Biashara yako pamoja nasi kwa gharama nafuu sana...Vipeperushi...Mabango...Vifungashio...Business card...Stika z...
24/09/2023

Tangaza Biashara yako pamoja nasi kwa gharama nafuu sana...

Vipeperushi...
Mabango...
Vifungashio...
Business card...
Stika za bidhaa...
Matangazao ya mitandao ya kijamii...
Na huduma zote za Design na printing...

Wasiliana nasi 0747835068

Karibu usajiliwe laini ya Halotel yenye vifurushi vya gharama nafuu sana kwa matumizi ya internet...Hizi ni laini specia...
24/09/2023

Karibu usajiliwe laini ya Halotel yenye vifurushi vya gharama nafuu sana kwa matumizi ya internet...
Hizi ni laini special...

Bei ni 15,000/- utapata na GB 4 buree za wiki.

Hii ni kwa wakazi wa Dar es salaam...

17/09/2023

Msanii aki perform wimbo wa ambao amesema kuwa ndio wimbo uliomtambulisha kwenye industry ya muziki...

Msanii kutoka label ya WCB Wasafi,   amesema kuwa wimbo wa kwetu ndio wimbo uliomtambulisha kwenye industry ya muziki na...
17/09/2023

Msanii kutoka label ya WCB Wasafi, amesema kuwa wimbo wa kwetu ndio wimbo uliomtambulisha kwenye industry ya muziki na kufanya kufikia mafanikio hayo aliyonayo mpaka sasa...

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tonny_Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share