Singida Forum

19/11/2020



18/08/2020
     kwa round table
19/07/2020

kwa round table

......Halmashauri ya Manispaa ya Singida.imegawa madawati 300 yenye thamani ya shilingi 16.5 milioni kwa shule zake za m...
11/05/2016

......Halmashauri ya Manispaa ya Singida.imegawa madawati 300 yenye thamani ya shilingi 16.5 milioni kwa shule zake za msingi ambazo ni Unyianga, Manguanjuki na Unyankhae, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la rais Magufuli.

pichani ni;.....Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Joseph Mchina, akimkabidhi madawati mwalimu kuu wa shule ya msingi Unyankhae, Betrida Felician.
.....uhaba wa madawati uliopo hivi sasa ni madawati 3,061 na matarajio yao ni kwamba ifikapo Mei, 30 mwaka huu, watakuwa wamemaliza tatizo hilo

(Picha na Nathaniel Limu)

  Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Christina Lissu Mughwai (ambaye ni dada wa Tundu Lissu) amefariki duni...
07/04/2016

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Christina Lissu Mughwai (ambaye ni dada wa Tundu Lissu) amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya saratani tangu mwaka jana, na alikuwa mbunge katika bunge la 10.

R.I.P Christina

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Singida Forum posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Singida Forum:

Share