Crown Media Tz

Crown Media Tz Ukurasa Rasmi wa CROWN FM📻 92.1
For your Sports, Business, Politics &Entertainment


(1)

Kula Chuma hicho 👑 Mpambanaji mpya ndani ya Mjengo
27/05/2024

Kula Chuma hicho 👑
Mpambanaji mpya ndani ya Mjengo

Mwamba huyu hapa kavishwa Crown 👑 karibu sana "DJ dommy" ndani ya crown media.
11/05/2024

Mwamba huyu hapa kavishwa Crown 👑 karibu sana "DJ dommy" ndani ya crown media.

Hongera sana KING kwa ubarozi huo uliopata , hii inaonesha ukubwa ulionao, umuhimu na upambanaji wako 👑 Hakika wewe ni K...
11/05/2024

Hongera sana KING kwa ubarozi huo uliopata , hii inaonesha ukubwa ulionao, umuhimu na upambanaji wako 👑 Hakika wewe ni King

Tunawatakia Waislamu wote Ulimwenguni EID MUBARAK
09/04/2024

Tunawatakia Waislamu wote Ulimwenguni EID MUBARAK

Kuelekea mchezo wa Yanga SC dhidi ya Mamelodi Sundowns kocha wa Yanga SC Miguel Gamondi amesema kua anatarajia kuwakosa ...
29/03/2024

Kuelekea mchezo wa Yanga SC dhidi ya Mamelodi Sundowns kocha wa Yanga SC Miguel Gamondi amesema kua anatarajia kuwakosa wachezaji wake Nyota watatu mpaka wanne akihofia uhatarisha afya zao.

Wachezaji wa Yanga SC wanaotarajiwa kuikosa mechi hii ni pengine, Khalid Aucho, Pacome Zouzoa, Yao Kwasi na Kibwana Shomari.

Je, majina hayo yatabaki kua haya au kuna mabadiliko? Tusubiri kikosi cha kwanza kitakachotangazwa majira ya saa 2 kamili usiku kesho. |

23/03/2024

Jumamosi k**a ya leo kwenye aligeuka Stand Up Comedian na kuvunja mbavu ukumbi mzima.

19/03/2024

Mtoto wa Malkia wa Taarab kutoka Unguja, Zanzibar, Bi. Khadija Omar Kopa Hizi ni ngoma zake tano zenye hadhi ya kuvishwa tangu alipotambulishwa kwa mara ya kwanza na label ya WCB mvwaka 2020.

Kwako ni ipi kali zaidi kati ya nyimbo hizi?



Je, umependa Segment hii mpya? Piga kura hapa

 leo inacheza mchezo wake wa kwanza wa ufunguzi JMK Park dhidi ya GSP watoto wa Kariakoo. Derby ya Kariakoo ndani ya Sil...
16/03/2024

leo inacheza mchezo wake wa kwanza wa ufunguzi JMK Park dhidi ya GSP watoto wa Kariakoo.

Derby ya Kariakoo ndani ya Silent Ocean Ramadhan Cup Captain atakiongoza kikosi cha watu 11 kutafuta ushindi dhidi ya GSP.

Tukutane JMK Park, Saa Tano Usiku, burudani ya soka ipo Crown FC usikose!


15/03/2024

Mnyama baada ya ushindi wa leo anasogea mpaka nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu akifikisha alama 45.

AZAM FC anapaswa kushinda dhidi ya Yanga SC ili arudi nafasi ya pili.

15/03/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ado Ze Don, Young Chufu, Ozdemir Aydini, Mrinji Moses, Mirajimwaita Mwaita, Andrerw Zefania, Benson Mremi, Nathan Bagaya, Peter Masinde, Lukelo Obadia, Paul Sangalali, Risandi Laizer, Denis Katunzi, Prince Twazi, Moise Mboni, Tadei Mrema, Maurus Mbunda Kayeti, Shokati Hamisi, Enod Nkuba, Jr Mawazo, Pascal Mbage Kingombe Salumu, Abdallah Jabir, Malumbo Hassani, M***a Killango, Phinias Mabomba, Jumanne Kambi, James Nyoni, Nurdin Chacha, BidBway AraShine MgangaCanon, Baraka Jr Mahesha, Daniel Mkandawile, Allý Nguzø, Sailas Leshongo, Rajab Mshindo, James Paul Mark, Ephraim Julius Mwalla, Bin Rashid Nzige, G Love Albert Mhungulu, Mayola A Mayola, Emmanuel William, Ibrahimu Atibu Kachunga, Willey Angira, Babuu Augustino, Omary Nyellow, Abdallah Yandilo, Moussa Momo, Karubembe Junior Thee Author, Star B Benzo, Augostine Mativo, Kennedy Simumba

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Crown Media Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share