MpenziNataka

MpenziNataka Biashara na burudani

Mmmmm
18/10/2022

Mmmmm

KWAHERI QUEEN ELIZABETH ...,REST IN PEACE MAJESTY.😢😭😭😓😓
09/09/2022

KWAHERI QUEEN ELIZABETH ...,REST IN PEACE MAJESTY.😢😭😭😓😓

ANGEKUWA TANZANIA UYU MTOTO WAMESHAMROGA UYU🤣🤣NAJUA HUJUI, LAKINI ACHA NIKUJUZE.JE WAJUA ?  HUYU NDIYE RUBANI MDOGO DUNI...
01/09/2022

ANGEKUWA TANZANIA UYU
MTOTO WAMESHAMROGA UYU🤣🤣

NAJUA HUJUI, LAKINI ACHA NIKUJUZE.

JE WAJUA ? HUYU NDIYE RUBANI MDOGO DUNIANI KUTOKA NCHINI UGANDA👉🇺🇬

Wakati huko kwenu mtoto mwenye umri wa miaka saba anacheza cha ndimu na kibaba na mama, hali ni tofauti kwa Kapteni Graham Shema kutoka uganda.



Graham ana umri wa miaka saba tu, lakini ni fahari ya Uganda kwa sababu anapendwa na vyombo vya habari na pia watu wa Taifa lake.



Kufuatia safari yake ya kwanza ya ndege akiwa rubani mdogo zaidi, amekua gumzo nchini mwake.

Watu katika nchi yake, ambao wamevutiwa na uwezo wake k**a rubani mchanga, wamempa jina la ‘Nahodha’ kwa sababu yeye ni rubani aliyefanikiwa sana akiwa mdogo zaidi.



Awali, Graham alirusha ndege tatu za injini moja za viti vinne zinazojulikana k**a 172 Cessna wakati bado ni rubani wa mafunzo.



Baadaye ndipo akaweza kurusha ndege kadhaa jambo iliyosababisha watu wengi kumtambua na kujulikana kote ulimwenguni.



Graham mwenye vipaji vingi ana shauku kubwa kuwa rubani wa ndege kwa muda mrefu na anatarajia kuwa mwanaanga na kusafiri kwenda Sayari ya Mars katika siku zijazo.

KWA HABARI KAMILI USISAHA KU LIKE PAGE HII YA MpenziNataka

MHUBIRI AKIWA NA BODGAD KANISANI....naomba kujifunza kutokana na coment zenu fupifupi tafadhali
31/08/2022

MHUBIRI AKIWA NA BODGAD KANISANI....naomba kujifunza kutokana na coment zenu fupifupi tafadhali

uchawi siyo lazma uwe mwanga bali kuna matendo mengine yanaashiria kabisa kuwa wewe nimchawi....,k**a mtoto mdogo una mt...
29/08/2022

uchawi siyo lazma uwe mwanga bali kuna matendo mengine yanaashiria kabisa kuwa wewe nimchawi....,k**a mtoto mdogo una mtendea hivo je mtu mzima utamtendea kitu gani😭😭😭mtoto sijui aliliajeeee jamani na maumivu kiasi gani aliyapata😭😭😢😢na aliathiriwa kiasi gani uuwiiiiiiii jamani😭😭😭😭😭😭😭

😆😆mwambie afunge break asije akatuulia kipa wetu buuuuure🤣🤣
29/08/2022

😆😆mwambie afunge break asije akatuulia kipa wetu buuuuure🤣🤣

NAOMBA USHAURINaomba unifichie jina watu wananijua,ila ni mwanaume miaka36 mkazi na mzaliwa Ntwara.Shida yangu kubwa ili...
28/08/2022

NAOMBA USHAURI

Naomba unifichie jina watu wananijua,ila ni mwanaume miaka36 mkazi na mzaliwa Ntwara.
Shida yangu kubwa iliyonifanya nije kwenu kuomba ushauri ni n'ke angu niliyemuoa yapata miaka miwili sasa.Kwanza alinidanganya kuwa hana mtoto kipindi tunaanza mahusiano,na baadae k**a mwaka hivi upite tangu tufunge ndoa ndio nikajua anawatoto watatu na aliwaficha kwa nijomba ake Lindi.Sasa hilo tuliongea likaisha lakini sasa mwenzangu hataki kunipa unyumba na nikimweleza atoe sijui kijiti tupate nitoto maana natamani kuitwa baba ila ye hataki na marafiki zake wananiambia anawambiaga kuzaa ye hataki anataka ale raha tu.Kiukweli napata wakati mgumu maana nataka nitoto ila ye hataki na unyumba hanipi mpaka nivizie amelala ndio ninonosole kidogo napo kwa mbinde sana na asubuhi akijua nilifanya bila ye kuamua ananipiga.Naomba ushauri nifanyaje nipate unyumba kila siku pia nipate nitoto na nke angu maana nikisema nimwache mi bado sijajipanga nakaa kwake na hata kazi alinitafutia yeye mwenyewe ya ulinzi kwa mtu.😥😥😥😥Ye nke angu anauza Bar ya nijomba ake.

TUMPE USHAURI NDUGU YETU MKEWE ANATAKA AMZALIE PIA ANANYIMWA UNYUMBA.
MKASA KUTOKA MTWARA.

😅😅😅nani aniambie radha yake
27/08/2022

😅😅😅nani aniambie radha yake

SENSA NI NGUMU WAJAMENI🤣🤣SIHUWAGA MNAWADHARAU WASAJILI LAIN 😅😅LEO ZAMU YENU🤣KUTESA KWA ZAMU😅😅😅
25/08/2022

SENSA NI NGUMU WAJAMENI🤣🤣SIHUWAGA MNAWADHARAU WASAJILI LAIN 😅😅LEO ZAMU YENU🤣KUTESA KWA ZAMU😅😅😅

🤔au tusiokuwa na nida hatuhesabiwi😣maana naona tunapishana tu njiani🤔pamoja na kujishobokesha lakin wapi😅😅😅😆😆😆tukumbuke ...
24/08/2022

🤔au tusiokuwa na nida hatuhesabiwi😣maana naona tunapishana tu njiani🤔pamoja na kujishobokesha lakin wapi😅😅😅😆😆😆tukumbuke namaafisa wa nida ilikuwaga hivohivo😅leo nawao wasubiri maafisa wa sensa😅😅

Mwenyeji; samahan dada angu hivi unaitwa nani vile?na simu namba yako naweza kupata?                          KARANI WA ...
24/08/2022

Mwenyeji; samahan dada angu hivi unaitwa nani vile?

na simu namba yako naweza kupata?

KARANI WA SENSA

😕Hayo Maswali mimi ndiyo nataki kukuuliza,mbona unafanya mambo vais vesa broo🤔🤔jamaa ahaa daah tatizo kinywaji hiki😂🤣🤣

*PENZI KITOVU CHA UZEMBE*_*KISA CHA NGONSWE NA MAZOEA KWENYE SENSA*_*MITOMINGI*: nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza k...
23/08/2022

*PENZI KITOVU CHA UZEMBE*

_*KISA CHA NGONSWE NA MAZOEA KWENYE SENSA*_

*MITOMINGI*: nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo.

*MAMA MAZOEA*: Basi fanya haraka _(Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo)_.

*MAZOEA*: Hodi! Hodi!

*NGOSWE*: Karibu.

*MAZOEA*: _(Akiingia)_. Ahsante. Nimekuja kuchukua vyombo.

*NGOSWE*: Vyombo! Kaa basi mbona unasimama k**a vile hakuna viti.

*MAZOEA*: Nimeambiwa nifanye haraka.

*NGOSWE*: Mmm! Haya ngoja ninawe basi _(Ngoswe ananawa kwa taratibu jicho likiwa usoni mwa Mazoea ambaye anatazama kando)_. Hivo mzima wee?

*MAZOEA*: Bee!?

*NGOSWE*: Salama?

*MAZOEA*: Salama tu.

*NGOSWE*: Sasa ndio umekataa kukaa?

*MAZOEA*: _(Ajidai hakusikia)_ Si umekwisha maliza?

*NGOSWE*: Bado kidogo.

*MAZOEA*: Basi nitakuja chukua baadaye. _(Ataka kutoka)_

*NGOSWE*: Basi nenda navyo. _(Mazoea anarudi kuinama kuvichukua. Ngoswe kwa sauti ndogo)_. Hivyo waitwa nani?

*MAZOEA*: Mie?

*NGOSWE*: Ndio wewe hapo kisura.

*MAZOEA*: _(anatabasamu huku akiondoka)_. Mazoea!

*Story ni tamu ila tulishaambiwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe!*

*JIANDAE KUHESABIWA*

Address

Kiluvya
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 05:00
18:00 - 07:00
Tuesday 09:00 - 06:00
18:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 06:00
18:00 - 17:08
Thursday 09:00 - 05:00
18:00 - 12:00
Friday 09:00 - 05:00
18:00 - 12:00
Saturday 09:00 - 05:00
18:00 - 12:00
Sunday 09:00 - 05:00
18:00 - 12:00

Telephone

+255718811611

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MpenziNataka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MpenziNataka:

Share