Regalia Media Productions

Regalia Media Productions Regalia Media Productions Limited, which runs an audio and audio visual production studio, is one of Regalia Media Group family of companies.

Our Expertise
Adverts and Jingle Production: Using our state-of-the–art studio, we produce audio visual and radio adverts and jingles. Sound Design: We do sound design for firms, animations, advertisements and other uses. Music Production: We record and produce various genres of music

Media Buying: We buy airtime to media houses on behalf of our client, monitor airing of the programmes or adver

ts and report to the client. Drama and Opera Production: We have a skilled team of professional performing artist for drama for series production, drama and operas designed for specific campaign of general messages.

Tukimalizia website package design kwa Jarida letu la Africa Tomorrow....ambalo litakujia hivi karibuni kwenye mtandao
22/10/2014

Tukimalizia website package design kwa Jarida letu la Africa Tomorrow....ambalo litakujia hivi karibuni kwenye mtandao

Tukihitimisha vyeti vya shukrani kwa kuweza kufanya salama chakula cha hisani ili kuchangisha fedha za uhifadhi wa milim...
06/10/2014

Tukihitimisha vyeti vya shukrani kwa kuweza kufanya salama chakula cha hisani ili kuchangisha fedha za uhifadhi wa milima ya tao la mashariki. Karibu Regalia

Regalia Media Productions Team wakiwa kazini kwa usanifu wa Machapisho mwongozo ya uzalishaji wa Juisi, mradi unaofadhil...
11/09/2014

Regalia Media Productions Team wakiwa kazini kwa usanifu wa Machapisho mwongozo ya uzalishaji wa Juisi, mradi unaofadhiliwa na Shirika la kimataifa UNIDO.

Mkurugenzi wa Regalia Media Productions Secelela Balisidya katikati akimkabidhi zawadi mwimbaji wa nyimbo za injili nchi...
05/09/2014

Mkurugenzi wa Regalia Media Productions Secelela Balisidya katikati akimkabidhi zawadi mwimbaji wa nyimbo za injili nchini maarufu kwa jina la Enock Jonas katika uzinduzi wa albamu yake ya KIZUNGUZUNGU KIMEWAPATA Ambapo Regalia Media Productions ndo walikuwa wadhamini.

Ni katika uzinduzi wa Albamu ya KIZUNGUZUNGU KIMEWAPATA ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini ENOCK JONAS ambap...
05/09/2014

Ni katika uzinduzi wa Albamu ya KIZUNGUZUNGU KIMEWAPATA ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini ENOCK JONAS ambapo Regalia Media Productions ndo walikuwa wadhamini wakubwa.

Regalia Media Productions ikiwa kazini katika uandaaji wa makala  za runinga kuhusiana na mradi wa ESC....Kaa mkao wa ku...
02/09/2014

Regalia Media Productions ikiwa kazini katika uandaaji wa makala za runinga kuhusiana na mradi wa ESC....Kaa mkao wa kula punde zitakujia katika runinga yako.

Mtayarishaji wa Vipindi vya Runinga, Redio na Machapisho, Charles Biggello Chirwa akiwa katika studio za Regalia Media P...
28/08/2014

Mtayarishaji wa Vipindi vya Runinga, Redio na Machapisho, Charles Biggello Chirwa akiwa katika studio za Regalia Media Productions kwa shughuli zake za kila siku.

Mwimbaji wa Nyimbo za Gospel akiwa katika studio ya Regalia Media Productions jana. Huyu ni mwimbaji ambaye anategemea k...
27/08/2014

Mwimbaji wa Nyimbo za Gospel akiwa katika studio ya Regalia Media Productions jana. Huyu ni mwimbaji ambaye anategemea kurekodi Albamu yake hivi punde na jana alifanikiwa kufika katika studio zetu ili kuangalia ubora wa studio akiwa na Mzazi wake na wameahidi kutengeneza albamu yao kutokana na kukubaliana na ubora wa studio yetu.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Regalia Media Productions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Regalia Media Productions:

Share