Mtaawasaba

Mtaawasaba Kuwa wa kwanza kupata habari na makala za teknolojia, uchambuzi wa kina, mitandao ya kijamii, matuki

Kuwa wa kwanza kupata habari na makala za teknolojia, uchambuzi wa kina, mitandao ya kijamii, matukio na utamaduni wa kidijitali

tuandikie barua pepe [email protected]

07/04/2022

Baada ya tetesi nyingi mwezi mzima uliopita hatimaye leo kupitia Apple Event ilopewa jina Peek Performance, Apple wamezi...
09/03/2022

Baada ya tetesi nyingi mwezi mzima uliopita hatimaye leo kupitia Apple Event ilopewa jina Peek Performance, Apple wamezindua bidhaa mpya kadhaa ikiwemo simu ya "gharama nafuu" ya iPhone SE 2022 kizazi cha tatu, simu yenye nguvu na muonekano wa zamani ikiwa na uwezo mkubwa kwa gharama nafuu ukilinganisha na simu zingine za iPhone. Simu hii inakuja na mfumo endeshi wa iOS 15....

https://bit.ly/3t6kFYd

iPhone SE 2022

09/03/2022

K**a umeshasajiliwa na mamlaka ya vitambulisho ya taifa (NIDA). Ila kwa namna moja au ingine haujapata kitambulisho chako cha utambulisho wa taifa usihofu. hapa tutakuchambulia Jinsi ya kupata namba ya nida mtandaoni (2022) hata k**a hujapata kitambulisho bado. Jinsi ya kupata namba ya NIDA mtandaoni (2022) Njia hii inahitaji uwe una simu au kifaa k**a kompyuta ambacho kimeunganishwa mtandao wa intaneti ili uweze kufanikisha zoezi hili....

https://bit.ly/34QeNc4

TIN number kwa kirefu ni Tax Payer Identification Number au kwa kiswahili namba ya utambulisho ya mlipa kodi. Namba hii ...
19/02/2022

TIN number kwa kirefu ni Tax Payer Identification Number au kwa kiswahili namba ya utambulisho ya mlipa kodi. Namba hii huhitajika katika shuguli kadha wa kadha hasa kwenye mambo ya usajili wa biashara, leseni ya udereva n.k. Nambari hii ya utambulisho hutolewa na mamlaka ya mapato Tanzania ili kuweza kuwatambua walipa kodi. kupitia makala hii tutakuelewesha Jinsi ya kupata TIN number bila kufika ofisi za mamlaka ya mapato....

https://bit.ly/3ByvfJN

Kuwa wa kwanza kupata habari za teknolojia, makala za teknolojia , uchambuzi wa kina, matukio, mitandao ya kijamii, bila kusahau utamaduni wa kidijitali.

Kila kitu unachotakiwa kujua kuhusu Samsung Galaxy S22 Plushttps://bit.ly/3rD5g0w
10/02/2022

Kila kitu unachotakiwa kujua kuhusu Samsung Galaxy S22 Plus
https://bit.ly/3rD5g0w

Kila kitu unachotakiwa kujua kuhusu Samsung Galaxy S22 Plus Imeandikwa na Mtaawasaba - Febuari 10, 2022 Facebook Twitter Pinterest LinkedIn SOMA: Microsoft wazindua Windows 11 yenye muonekano tofauti kidogo na uliozoeleka Mtaawasabahttps://mtaawasaba.comMtaawasaba inakuletea habari za teknolojia, uc...

Kampuni ya kitanzania inayotoa huduma za kifedha ya NALA yakusanya bilioni 23.1 za uwekezaji. Fedha hiyo ambayo ni sawa ...
01/02/2022

Kampuni ya kitanzania inayotoa huduma za kifedha ya NALA yakusanya bilioni 23.1 za uwekezaji. Fedha hiyo ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 10 imekusanywa kutoka kwa wawekezaji wakiwemo Amplo, Accel, na washirika wa Bessemer, pia kwa ushirikiano na wachangiaji wengine wakiwemo waanzilishi wa kampuni za Monzo, Robinhood, Alloy na Deel. Pia NALA inatarajiwa kuanzisha kampeni ya uchangiwaji mwaka huu na watumiaji wa mwanzo wataweza kumiliki hisa kwenye kampuni ya NALA....

https://bit.ly/3ofaOMM

Fedha hiyo ambayo ni sawa na dola za kimarekani milioni 10 imekusanywa kutoka kwa wawekezaji wakiwemo Amplo, Accel, na washirika wa Bessemer, pia kwa

02/12/2021
02/12/2021
12/11/2021

Kuanzia leo, YouTube imeamua kuficha idadi ya dislikes kwenye video zote zilizopo katika mtandao huo mkubwa wa video unaomilikiwa na Google. Mabadiliko haya yanaweza kubadili kwa kiasi kikubwa namna tabia za watumiaji wa mtandao huo. Hata hivyo taarifa hii inasema, kinachoondolowa ni idadi ya dislike na sio kitufe cha dislike. Idadi ya ambao hawakuipenda video itaonekana na aliyechapisha video iyo pekee....

https://bit.ly/3C98tXJ

The server is temporarily unable to service your request due to maintenance downtime or capacity problems. Please try again later.

Kamera za iPhone zinatumia teknolojia k**a vile optical image stabilization na closed-loop autofocus ambazo hukinzana na...
15/09/2021

Kamera za iPhone zinatumia teknolojia k**a vile optical image stabilization na closed-loop autofocus ambazo hukinzana na mitikisiko au mwendo ili kutengeneza picha angavu.

Lakini sasa mitikisiko mikubwa ya pikipiki inaweza kuathiri ufanyaji kazi wa teknolojia hizi na kuitumia simu muda mwingi kwenye pikipiki husababisha simu kushindwa kutoa picha kali.

Apple wameandika.
Kwa mujibu wa Apple, angalizo hili haliwagusi sana watu wanaotumia pikipiki ndogo au pikipiki zinazotumia umeme aina ya “mopeds” na “scooters”.

K**a ilivyokuwa inatazamiwa, Apple wamezindua iPhone 13, ikiwa ni moja kati ya simu kadhaa zilizozinduliwa leo, simu hiz...
15/09/2021

K**a ilivyokuwa inatazamiwa, Apple wamezindua iPhone 13, ikiwa ni moja kati ya simu kadhaa zilizozinduliwa leo, simu hizi ni pamoja na iPhone 13 yenyewe, iPhone 13 Pro, iPhone Pro Max na iPhone 13 mini. Hii ni kwa upande wa simu, Apple pia wamezindua bidhaa zingine ikiwemo Apple Watch series 7 yenye muonekano mpya na iPad mini.

24/12/2019
Kutoka   tunakutakia heri ya siku ya kuzaliwa Director
19/12/2019

Kutoka tunakutakia heri ya siku ya kuzaliwa Director

https://mtaa.ws/2STnviy
23/02/2019

https://mtaa.ws/2STnviy

Simu-Tableti yenye kioo cha kujikunja ya Samsung Galaxy Fold hatimaye imezinduliwa kwenye tukio la Galaxy unpack pamoja na simu za familia ya Galaxy S10, hii ni baada ya miaka ya kusubiri na tetesi kibao kuhusu simu hii. Ili uweze kuimiliki simu hii ni lazima toboke mfuko maana bei yake ni dola za k...

21/02/2019

Baada ya picha nyingi zilizovuja kuhusu simu mpya zitakazopeperusha bendera ya Galaxy kwa mwaka huu, hatimaye Samsung ikisherehekea miaka kumi tangu simu ya kwanza ya Galaxy itoke, wazindua rasmi simu tatu zitakazokuwa kwenye familia ya Galaxy S kwa mwaka huu, ambazo ni Galaxy S10, the S10 plus na S...

Address

Tabata Segerea
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 10:00 - 18:00

Telephone

+255652174236

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtaawasaba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share