
07/07/2025
Studio 19 tupo ndani ya Kijiji cha Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo SABASABA!
Tunaendelea na mazungumzo na wadau mbalimbali kuhusu nafasi ya filamu k**a chombo chenye nguvu katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Tunatoa shukrani za dhati kwa Bodi ya Filamu Tanzania na kwa kutoa jukwaa hili linalowezesha taasisi na wabunifu kuonyesha mchango wao katika sekta ya filamu.
Wadau wote mnakaribishwa kutembelea banda letu katika Kijiji cha Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo tujadiliane na tujifunze pamoja