Bongo kumenoga

Bongo kumenoga Habari michezo udaku vituko n.k

Naona watu wananichezea sasa nataka kumiliki chuma kiunoni 🤫🤫
28/02/2025

Naona watu wananichezea sasa nataka kumiliki chuma kiunoni 🤫🤫

Msanii kutoka Nigeria 🇳🇬 Rema (24) ameanza muziki mwaka 2019 kipindi hicho Diamond Platnumzmzlatnumz akiwa wa moto 🔥,Ila...
28/02/2025

Msanii kutoka Nigeria 🇳🇬 Rema (24) ameanza muziki mwaka 2019 kipindi hicho Diamond Platnumzmzlatnumz akiwa wa moto 🔥,

Ila kwa Sasa rekodi ya Rema na brand diamond hafati Yani bwana mdogo kampita Show zake anajaza viwanja huko Ulaya na Marekani Rema ana wimbo wenye views million 600+ huko YouTube lakini pia remix ya wimbo wake wa calm down Ina views billion 1 aliyofanya na Selena Gomez

Unadhani kipi kinawakwamisha wasanii wa bongo kufikia rekodi kubwa...?

Alichokifanya diamond kwa huyu bint ni kawaida ya wanaume wengi, mabint wengi sana wanajirahisisha kwa tamaa ya maisha m...
21/02/2025

Alichokifanya diamond kwa huyu bint ni kawaida ya wanaume wengi, mabint wengi sana wanajirahisisha kwa tamaa ya maisha mazuri na kupata umaarufu..

Ile clip unaona kabisa yule bint alivojorahisisha kwa diamond pia wako radhi kubeba ujauzito kwa kuhisi maisha yao yatabadilika mwisho wa siku wanaachwa stranded, nadhan diamond ndio msanii bahiri sana when it comes kwenye kuhonga mwanamke why? Coz yeye anaamin wanawake wamependa kwa ajili ya kupata umaarufu

Leo anajikuta ameachwa so anaanza kusambaza videos ambazo hazitomsaidia zaidi ya kujidhalilisha kwa familia yake na hata wanaume wengine ambao wangeweza hata kumuoa that's so shame

Kuna mpya Magorofan Ihumwa. Jamaa kajifanya Msichana na kupata Ajira ya House Girl nyumban kwa Askari. Ameshtukiwa Leo b...
21/02/2025

Kuna mpya Magorofan Ihumwa. Jamaa kajifanya Msichana na kupata Ajira ya House Girl nyumban kwa Askari. Ameshtukiwa Leo baada ya Kuishi ndan ya familia hiyo kwa Muda mrefu. Mashuhuda wanadai jamaa huyo alianza kazi hiyo akijifanya Mwanamke kwa Mzazi wa Askari huyo na baada ya Mzazi huyo kuona Kijana wake ameenda Kozi na mke wake ni Mjamzto akaamua kumpeleka House Girl huyo amsaidie kazi mkwewe bila kujua house girl huyo ni Kijana wa Kiume aliejiwela Mavazi ya K**e. Ishu hii imekuja shtukiwa na mke wa Askari huyo baada ya kuona ishara za mwili wa house girl huyo kupitia mikon siyo ya k**e. Ndioo alipotoa taarifa na mhusika kugundulika kweli ni Mwanaume. Mtuhimiwa imasemekana amekabidhiwa Kituo Cha Polisi ihumwa. Tahadhari tunaoajiri wadada wa Kazi kupitia Mitandao hali ni mbaya.

Pichani ni mrembo Ritha Norbeth (Ms ryta) anayedai alikuwa kwenye mahusiano ya siri na Diamond Platnumz hadi kufikia Nov...
21/02/2025

Pichani ni mrembo Ritha Norbeth (Ms ryta) anayedai alikuwa kwenye mahusiano ya siri na Diamond Platnumz hadi kufikia Novemba mwaka jana 2024. Dada huyo amedai aliamua kuachana na Diamond kwakua hakuwa mkweli, anadai Diamond alimuahidi kumfungulia biashara, kumnunulia gari, kumlipia kodi nk ila yote hayo akawa hatekelezi kwa wakati

Kiufupi Ritha anadai mahusiano yake na Diamond yalikuwa hai wakati wote akiwa na Zuchu. Ndio maana page hii maarufu zaidi kwa sasa tz "Dunia Ina Mambo" huwa tunasema haijaisha mpaka iishe, kiufupi huwezi sema ni wako k**a hajakuoa kanisani au msikitini hata k**a unakaa nae

Diamond amekana vikali na kudai aliachana nae mwaka juzi 2023 na kutishia kumsh*taki, hata hivyo Ritha amesema Diamond kwa nguvu ya pesa na umaarufu anaweza kumfunga ila ukweli anaujua kwamba wameachana mwaka jana tu Novemba na bado alikuwa akija anapokaa k**a mme kwa siri na kuondoka

Binafsi niseme, hawa vijana maarufu k**a kina Diamond ifike mahali waamue kutulia na mahusiano rasmi kulinda brand zao, skendo skendo sio nzuri zinawachafua✅✅

Alichoandika Ritha nmekuekea hapo chini kwenye comments

11/02/2025

Address

Airport
Dar Es Salaam

Telephone

+255625883800

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo kumenoga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category