Heavy News Media

Heavy News Media Pata Habari za kitaifa na Kimataifa, Michezo na Burudani, za Ukweli na Uhakika, Twitter@HeavyNewstz

Zijue Siri za kwenye Ulinzi wa Marais wa Nchi.  *iSession
21/02/2022

Zijue Siri za kwenye Ulinzi wa Marais wa Nchi.

*iSession

Katika Executive Protection kuna vitu vingi ambavyo watu wengi hawavifahamu, lakini mpenzi mtazamaji kupitia Session hii ya U*i huenda uka-gain jambo leo. He...

 *iSession: "Hii ni moja ya kati ya matukio ambayo sitokuja kuyasahau Maishani mwangu"     https://youtu.be/wo8ATGWKNZ0 ...
16/02/2022

*iSession:

"Hii ni moja ya kati ya matukio ambayo sitokuja kuyasahau Maishani mwangu"



https://youtu.be/wo8ATGWKNZ0

Hii ni story au mkasa wa kweli ambao ulimpata kijana mmoja ambaye alikua ni mwanafunzi wa Secondary ya AYA iliyopo Kondoa Mkoani Dodoma Mwaka 2007. Sikiliza ...

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai amejiuzulu nafasi yake k**a Spika.
06/01/2022

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai amejiuzulu nafasi yake k**a Spika.

04/05/2021

: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 04 Mei, 2021 kuelekea nchini Kenya ambako anafanya Ziara Rasmi ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta.

Rais Samia Suluhu Hassan leo 22/04/2021 kulihutubia bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania majira ya saa 10:00 jioni.
22/04/2021

Rais Samia Suluhu Hassan leo 22/04/2021 kulihutubia bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania majira ya saa 10:00 jioni.

 : Huzuni na simanzi zilipotawala wakati mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ukiin...
24/03/2021

: Huzuni na simanzi zilipotawala wakati mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ukiingia katika Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza leo Machi 24, 2021.

Ndege mpya ya shirika la ndege la   yaanza safari kutoka nchini Marekani kuja Tanzania.▪︎Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya p...
25/10/2019

Ndege mpya ya shirika la ndege la yaanza safari kutoka nchini Marekani kuja Tanzania.

▪︎Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili.
▪︎Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana.
▪︎Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais .

Mama Samia katika Ubora wake! mpe neno lolote.....!
19/10/2019

Mama Samia katika Ubora wake! mpe neno lolote.....!

 : Kesho tar: 29/Julai/2019 Serikali inatiliana saini na mkandarasi ili kuanza rasmi safari nyingine ya miezi 48 ya ujen...
28/07/2019

: Kesho tar: 29/Julai/2019 Serikali inatiliana saini na mkandarasi ili kuanza rasmi safari nyingine ya miezi 48 ya ujenzi wa Daraja la km 3.2 kuvuka Ziwa Victoria kwenye eneo la Kigongo-Busisi, Mwanza. Litagharimu jumla ya TZS bilioni 699.6 ikiwemo kodi zote.

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping leo jijini Beijing, China.
03/09/2018

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping leo jijini Beijing, China.

 : England yasonga Nusu Fainali huku Sweden ikifungasha vilago. FT: Sweden 0-2 England
07/07/2018

: England yasonga Nusu Fainali huku Sweden ikifungasha vilago.

FT: Sweden 0-2 England

  Brazil yatolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia na Ubelgiji. FT: Brazil 1-2 Belgium
06/07/2018

Brazil yatolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia na Ubelgiji.

FT: Brazil 1-2 Belgium

Address

Kibada
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Heavy News Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Heavy News Media:

Share