DMG Media Tz

DMG Media Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DMG Media Tz, News & Media Website, Dar es Salaam.

Endapo unao mpango wa kuitembelea Nchi ya Urusi tafadhali sikiliza Video hii ili kujiepusha na changamoto zitakazokukuta...
05/08/2026

Endapo unao mpango wa kuitembelea Nchi ya Urusi tafadhali sikiliza Video hii ili kujiepusha na changamoto zitakazokukuta Ughaibuni

Huyu ndio dada wa kazi ALIYEFUMANIWA ni Hatari na INASIKITISHA! ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน
18/06/2026

Huyu ndio dada wa kazi ALIYEFUMANIWA ni Hatari na INASIKITISHA! ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

Watu kadhaa wamenusurika kifo baada ya basi la Kampuni ya B One Coach kupata ajali na kuteketea kwa moto usiku wa Juni 9...
10/06/2026

Watu kadhaa wamenusurika kifo baada ya basi la Kampuni ya B One Coach kupata ajali na kuteketea kwa moto usiku wa Juni 9, 2026, katika eneo la Rosinde, Kata ya Romu, Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro lakini mali za abiria wote ziliteketea kwa moto

Watu kadhaa wamenusurika kifo baada ya basi la Kampuni ya B One Coa...

Kijana aliyenaswa na Chatu akiiba ndizi shambani kwa mtu           Full Video hii hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
06/05/2026

Kijana aliyenaswa na Chatu akiiba ndizi shambani kwa mtu Full Video hii hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Kijana aliyenaswa na Chatu akiiba ndizi shambani kwa mtu

Vijana Mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo ya asilimia kumi ambayo imekuwa ikitolewa na Halmashau...
14/04/2026

Vijana Mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo ya asilimia kumi ambayo imekuwa ikitolewa na Halmashauri mbalimbali nchini kwaajili ya kujikwamua kiuchumi kupitia mikopo hiyo isiyokuwa na riba.

Wito huo umetolewa Bungeni jijini Dodoma na Mbunge wa viti Maalumu Mkoani Kilimanjaro Mheshimiwa Zuena Bushiri wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Waziri Mkuu.

Hii ni blog inayohusu Habari za siasa, uchumi, biashara, udaku, michezo na burudani.

Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira Moshi Mjini Muwsa imeadhimisha wiki ya maji Duniani kwa kupanda miti kwenye S...
19/03/2026

Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira Moshi Mjini Muwsa imeadhimisha wiki ya maji Duniani kwa kupanda miti kwenye Shule ya sekondari Njiapanda iliyopo Kata ya Njiapanda Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro.

Mgeni rasmi kwenye tukio hilo la upandaji wa miti Afisa mazingira Halmashauri ya Moshi Peter Tungu ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, amewataka wananchi kuendeleza juhudi za utunzaji wa mazingira kwa kupanda miti.

Tungu ameipongeza mamlaka ya Maji Moshi Mjini Muwsa kwa kupanda miti Zaidi ya 500 kwenye shule hiyo ambayo itawasaidia kutunza ikolojia ya vyanzo vya maji.

Naye Meneja wa maji safi na usafi wa mazingira wa Muwsa Filbert Nyangwe amesema wameadhimisha wiki ya Maji kwa kupanda miti ya matunda na miti ya kivuli itakayowasaidia wanafunzi hao.

Kwa upande wao, Mkuu wa Shule ya Sekondari Njiapanda, Mtedaji wa Kata ya Njiapanda na Dada Mkuu wa Shule hiyo wameishukuru Mamlaka hiyo kwa zawadi hiyo ya miti na kuahidi kuitunza.

Kila mwaka kuanzia Machi 16, Wizara ya Maji huadhimisha Wiki ya Maji ambayo hufikia kilele chake Machi 22, maadhimisho hayo kitaifa yanatarajiwa kufanyika mkoani Morogoro yakibebwa na kaulimbiu isemayo โ€œMaji na Jinsiaโ€.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0716410041

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DMG Media Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DMG Media Tz:

Shortcuts

Share