Habari zote

Habari zote Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Habari zote, News & Media Website, Dar es Salaam.

Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro Priscus Tarimo amechukua tena fomu ya kuwania Ubunge wa jimb...
29/06/2025

Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro Priscus Tarimo amechukua tena fomu ya kuwania Ubunge wa jimbo hilo kwa muhula wa pili.

Priscus ambaye alichaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwenye uchaguzi wa 2020 amechukua fomu hiyo Juni 29, 2025 kwenye ofisi za Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Moshi mjini.

Written by

Kiduku, Mwarabu wapima uzito, kupasuana leoNa Mwandishi Wetu, MtwaraMASAA machache yamesalia kutoka hivi sasa kabla leo ...
23/09/2022

Kiduku, Mwarabu wapima uzito, kupasuana leo

Na Mwandishi Wetu, Mtwara

MASAA machache yamesalia kutoka hivi sasa kabla leo Jumamosi mabondia Twaha Kiduku na Abdo Khaled raia wa Misri kupanda ulingoni kuwania mkanda wa UBO Intercontinental katika Mtwara Ubabe Ubabe linalotarajia kupigwa kwenye Uwanja wa Nangwanda wa Sijaona mkoani hapa.

Kuduku na Khaled wa wamepima uzito jana na tayari kwa pambano hilo la uzani wa Super Middle ambalo litachezwa kwa raundi 10 huku wa kazi wa mkoani hapa wakitarajia kushuhudia kutoka kw mabondia hao.

Licha ya kuwepo kwa mapambano ya utangulizi ila bondia Karim Mandonga amekuwa gumzo kubwa kwa watu wa mjini hapa kutokana na umaarufu wa bondia huyo kutoka Morogoro kufuatia mikwara anayowapiga mabondia wenzake licha ya kupokea vichapo mara kwa mara.

Kiduku amewahakikishia Watanzania kuwa yupo tayari kuwapa burudani ya ushindi kwenye pambano hilo wakati mpinzani wake akisema kuwa atamaliza raundi kumi za pambano hilo kwa kuamini atamchapa mpinzani wake.

Mbali ya Kiduku, bondia Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’ aliyepewa ubalozi wa mkoa wa hapa, ameendelea kuonyesha umaarufu wake kuliko wanasumbwi wengine waliombatana. Mandoga  atacheza na Salim Abeid pambano la raundi nne, Adam Lazaro atatwangana na Francis Miyeyusho, Emiliano Polino atacheza na Osama Arabi.

Selemani Galile atapambana na Shaban Ndaro pambano la raundi sita, uzito wa kati, Nasra Msami dhidi ya Halima Bandola ikiwa ndiyo pambano pekee la wanawake likiwa la raundi sita. 

Alto Kyenga atapambana na Ibrahim Tamba raundi sita, Malik Deo atacheza dhidi ya Bosco Bakari pambano la raundi nne, Paschal Manyota atazichapa dhidi ya Joseph Mchapeni.Mapambano mengine ni Shafii Mohamed dhidi ya Ramadhan Sunya, Iddi Pazi atacheza na Sebaatian Temba, Ayoub Mwankina dhidi ya Shaban Rajabu, Yassin Mbegu dhidi ya Hassan Mgaya. Azizi Salumu dhidi ya Biemo Max.

Impressive Game...Twiga Stars 🇹🇿 3-0 🇰🇲 Comoros ⚽Donesia Minja 14'⚽⚽ Enekia Kasonga 41' 50'
02/09/2022

Impressive Game...Twiga Stars 🇹🇿 3-0 🇰🇲 Comoros
⚽Donesia Minja 14'
⚽⚽ Enekia Kasonga 41' 50'

Wizara ya Ulinzi ya Jeshi la Shirikisho Urusi limemtunukia  nishani Kwa kuimarisha ushirikiano katika Majeshi Kimataifa ...
18/08/2022

Wizara ya Ulinzi ya Jeshi la Shirikisho Urusi limemtunukia nishani Kwa kuimarisha ushirikiano katika Majeshi Kimataifa
Kanali Joseph Bakari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nchini Urusi.

Kanali Bakari ambaye Ni Mkurugenzi wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani ( CISM ) alitunukiwa Nishani hiyo kutokana na mchango wake na juhudi zake katika kusimamia maandalizi ya Michezo ikiwemo ya Maofisa wanafunzi yaliyoafanyika nchini humo hivi karibuni.

Mashindano hayo yaliandaliwa kutokana na mgogoro unaoendelea kati ya nchi ya Urusi na Ukraine, na ylikabiliwa na changamoto kwa baadhi ya Wanachama walitaka michezo hiyo isifanyike. Kwa nyakati tofauti kuanzia mwaka 2019 hadi 2022.

Nishani hiyo alivishwa na Naibu Waziri wa Ulinzi wa Jeshi la Shirikisho la Urusi Jenerali Nikolay Pankov mbele ya viongozi mbalimbali wa Jeshi la Shirikisho la Urusi pamoja na wageni wengine wakiwemo washiriki kutoka nchi 20.

Kwa mujibu wa tovuti ya Wizara ya Ulinzi ya Shirikisho la Urusi, Nishani hiyo
hutunukiwa kwa Wanajeshi wa Jeshi la Shirikisho la Urusi au Raia kutokana na mafanikio yao katika kuunda na kutekeleza sera ya nchi katika eneo la mahusiano na mashirikiano ya Kijeshi Kimataifa ( international military cooperation).

Aidha, nishani hiyo pia hutunukiwa wananchi wa Shirikisho la Urusi na mashirikisho ya Kimataifa na raia wa nchi nyingine ambao wamechangia kutekeleza kwa mafanikio jukumu maalum la Jeshi la Shirikisho la Urusi Kimataifa.

Pamoja na Kanali Bakari wengine waliotunukiwa Nishani ni Meja Jenerali Maikano Abdullahi kutoka Nigeria ambaye ni Rais wa Baraza la Michezo ya Majeshi barani Afrika na Ndugu Mitryshin Alexei kutoka Urusi ambaye ni Rais wa Shirikisho la mchezo wa Rugby nchini Russia.

What a Game
10/04/2022

What a Game

Bingwa wa mkanda wa African Boxing Union ABU...Ametetea Mkanda wake💯💪💪
04/09/2021

Bingwa wa mkanda wa African Boxing Union ABU...

Ametetea Mkanda wake💯💪💪

Haji Manara amesema Senzo Mbatha aliondoka Simba SC kwa sababu ya kuingiliwa majukumu na aliyekuwa msaidizi wake, Barbar...
04/08/2021

Haji Manara amesema Senzo Mbatha aliondoka Simba SC kwa sababu ya kuingiliwa majukumu na aliyekuwa msaidizi wake, Barbara Gonzalez na kukosa ushirikiano kwa kuukatalia uongozi baadhi ya mambo. Amesema Mbatha alipofika, aliagizwa kumfukuza yeye (Manara), lakini aliwakatalia.

Aliyekuwa Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amesema kundi la WhatsApp la Simba SC HQ (lenye wabunge/waliokuwa wabunge wa ...
04/08/2021

Aliyekuwa Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amesema kundi la WhatsApp la Simba SC HQ (lenye wabunge/waliokuwa wabunge wa Simba) limechanga takribani milioni 20 kununua vifaa vya mazoezi vya klabu hiyo, lakini uongozi wa klabu umekataa kuwatambua k**a wao ndio wamechanga.

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amefariki Dunia leo Julai 22, 2021 katika Hospitalini ya Mount Meru A...
22/07/2021

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amefariki Dunia leo Julai 22, 2021 katika Hospitalini ya Mount Meru Arusha.

R.I.P

Kiungo wa zamani wa klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya Ufaransa Thiery Henry ametangaza kujiondoka katika mitandano yo...
27/03/2021

Kiungo wa zamani wa klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya Ufaransa Thiery Henry ametangaza kujiondoka katika mitandano yote ya kijamii kutokana kukithiri kwa matukio ya ubaguzi wa rangi yanayoendelea kwenye mitandao hiyo.

Henry mwenye umri wa miaka 43 ametoa tangazo hilo katika ukurasa wake wa Twitter wenye wafuasi zaidi ya Milioni 2.3 pamoja na Instagram akisema matukio ya ubaguzi yamekuwa sugu mitandaoni.

Amesema hatarejea kwenye mitandano hiyo ya kijamii endapo hawataweka Kanuni za kuwaadhibu wanaoutumia mitandano hiyo vibaya sawa na zilivyo adhabu kwa mtu anayekiuka Vigezo na masharti yao.

Henry ameongeza kuwa ni rahisi kufungua ukurasa katika mitandao hiyo na kuitumia unavyotaka na bado mtu huyo hawezi kujulikana na kwamba ubaguzi umekuwa unawakwaza watu wengi na kujenga usumu kwenye fikra za watu.

Group AAhly (Egypt)Al-Merrikh SC (Sudan)Simba (Tanzania)AS Vita Club (DR Congo)Group B TP Mazembe (DR Congo)CR Belouizda...
08/01/2021

Group A

Ahly (Egypt)

Al-Merrikh SC (Sudan)

Simba (Tanzania)

AS Vita Club (DR Congo)

Group B



TP Mazembe (DR Congo)

CR Belouizdad (Algeria)

Al Hilal (Sudan)

Mamelodi Sundowns (South Africa)

Group C

Wydad (Morocco)

Kaizer Chiefs (South Africa)

Petro Atletico (Angola)

Horoya (Guinea)

Group D

Esperance (Tunisia)

Zamalek (Egypt)

TeMC Alger (Algeria)

Teungueth (Senegal)

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Sita kwa mwaka 2020 nakusema ufaulu umeongezeka ik...
21/08/2020

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Sita kwa mwaka 2020 nakusema ufaulu umeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2019

Katibu Mkuu wa NECTA, Dkt. Charles Msonde ametangaza matokeo hayo leo akiwa Visiwani Zanzibar na kusema shule za Serikali 8 zimeingia katika orodha ya shule 10 zilizofanya vizuri Kitaifa

Orodha ya Shule 10 Bora Kitaifa ni 1. Kisimiri, 2. Kemebos, 3. AHMES, 4. Mzumbe, 5. Tabora Girls, 6. Tabora Boys, 7. Ilboru, 8. Kibaha, 9. Mwandet na 10. Dareda

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0716410041

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari zote posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habari zote:

Share