12/04/2019
inshort mimi sina uwezo wa kifedha kukusapoti my brother lakini nafarijika kukufatilia na kuniprove kuwa kukata tamaa ni neno la "dhambi kwako"
mimi naiona value iliopo katika mind yako ikiakisi uyafanyayo ambay kila mtu huwezi muaminisha lakini yeye binafsi akaamini
🙏🏿nilichokuwa na uwezo wa kukupatia ni swala X sala
💪🏿💪🏿