East Africa TV

East Africa TV Official EastAfricaTV page
(877)

16/10/2025

Mwajuma Noty Mirambo- Mgombea Urais UMD ameahidi UMD ikichaguliwa basi hakuna Mtanzania atajuta kuzaliwa Tanzania.

16/10/2025

Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga umeagwa katika uwanja wa michezo wa Kasarani.

Maafisa wa jeshi wamelazimika kufyatua risasi angani ili kuwatawanya waombolezaji abao waliingia ndani ya uwanja huo kabla mwili haujafika na kuujaza uwanja wote kiasi cha kushindwa kuungiza mwili huo ndipo polisi walipotumia silaha na mabomu ya machozi kuwatawanya.

16/10/2025

Mwajuma Noty Mirambo- Mgombea Urais UMD amesema vijana na watoto wa Tanzania wana vipaji vikubwa, na wanachokihitaji ni mazingira mazuri tu ya kuwasimamia, hivyo serikali ya UMD itahakikisha inafanya hivyo.

16/10/2025

Abdul Mluya- Mgombea Urais DP akinadi sera zake ikiwemo ya kilimo amesema kuwa Tanzania kuna utajiri wa Nyanya ambapo kilimo cha nyanya kinaweza kuzalisha ajira nyingi kupitia mnyororo wake wa thamani.

16/10/2025

EATVSAA1LIVE;VIJANA WANNE WAKUTWA WAMEFARIKI BARABARANI MAPINGA

16/10/2025

Abdul Mluya- Mgombea Urais wa DP amesema tukiipa sekta ya madini kipaumbele k**a chanzo cha mapato serikali itaingiza fedha za kigeni.

16/10/2025

- Maduhu William, wakili wa kujitegemea amesema kwamba Mgombea mwenza hawezi kwenda peke yake kugombea k**a hamna mgombea Urais hivyo inamfanya mgombea mwenza wa Urais wa Luhaga Mpina kukosa vigezo vya kugombea kwenye Uchaguzi huu endapo Mpina hatogombea.

16/10/2025

LIVE; MPINA AMEKUBALI YAISHE?

16/10/2025

Huu hapa mkusanyiko wa Hadari zote za michezo kutoka hapa nchini Tanzania, Afrika na duniani leo Oktoba 16, 2025

16/10/2025

amefunguka historia yake kwenye je, viatu vyake vingekubana, Vingekupwaya, au vingekutosha?


16/10/2025

Ameweka wazi matamanio ya kufanya kazi na Malkia kutoka ufalme wa


16/10/2025

Amefunguka kuwa Muziki wa dance Tanzania umeuliwa kwa asilimia kubwa na mashabiki wa muziki huo.


Address

Mikocheni Light Industrial Area
Dar Es Salaam
0255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when East Africa TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to East Africa TV:

Share