BrainUjazo

BrainUjazo Est-2018
Event Planner || Digital Productions ||
Marketing || Consultancy services & ProposalWriting

11/10/2024

Ni Meneja Wa Team ya Korosho Queens HUSSEIN KIBOMBWE NA Fainal Ya Volleyball Mtanange Kati Ya bs hapa Viwanja Vya Mwembe Yanga

11/10/2024

Pugu Hill Kazimzumbwi Forest Kisarawe

11/10/2024

Hotuba Ya Mgeni Rasmi Mheshimiwa Naibu Waziri wa Sanaa Hamisi Mwinjuma Mwana FA Utamaduni na Michezo Kwenye Fainali Volleyball kati Ya vs

TANGAZO📢Kuelekea Korosho Marathon Hapo Tarehe 26/10/2024 Mtwara, Kumetokea Mabadiliko Ya Eneo Kutoka Nangwanda Sijaona S...
08/10/2024

TANGAZO📢
Kuelekea Korosho Marathon Hapo Tarehe 26/10/2024 Mtwara, Kumetokea Mabadiliko Ya Eneo Kutoka Nangwanda Sijaona Stadium Na Kwenda Millenium Beach.
Tuendelee Kujisajili Kwa Kasi.
Korosho Marathon 2024

EXCLUSIVE🚒🔥 🍕⛔ ATTENTION pata KIT Yako Kwa Kwa Discount ya Tsh 35,000/= tu  Hadi Tarehe 1/10/2024 na Baada Hapo KIT itau...
18/09/2024

EXCLUSIVE🚒🔥 🍕⛔ ATTENTION pata KIT Yako Kwa Kwa Discount ya Tsh 35,000/= tu Hadi Tarehe 1/10/2024 na Baada Hapo KIT itauzwa Kwa TSH Elfu 40,000/=
Tupigie namba Kwenye Bango.

Endelea Kujisajili
Imedhaminiwa na Serikali Kupitia.


Baada ya mizunguko na harakati nyingi tangu January.Tunaelekea Mtwara sasa kwenye korosho marathon inayotarajiwa kufanyi...
26/08/2024

Baada ya mizunguko na harakati nyingi tangu January.
Tunaelekea Mtwara sasa kwenye korosho marathon inayotarajiwa kufanyika tarege 26/10/2024 pale Nangwanda Sijaona hivyo basi ukiwa k**a mdau wa mbio unakaribishwa sana kujisajili na wadhamini tunawakaribisha sana milango ipo wazi kwenu karibuni sana
Tukutane Mtwara.

PUBLIC ANNOUNCEMENT📢
24/08/2024

PUBLIC ANNOUNCEMENT📢

Baada ya mizunguko na harakati nyingi tangu January.Tunaelekea Mtwara sasa kwenye korosho marathon inayotarajiwa kufanyi...
15/08/2024

Baada ya mizunguko na harakati nyingi tangu January.
Tunaelekea Mtwara sasa kwenye korosho marathon inayotarajiwa kufanyika tarege 26/10/2024 hivyo basi ukiwa k**a mdau wa mbio unakaribishwa sana kujisajili na wadhamini tunawakaribisha sana milango ipo wazi kwenu karibuni sana
Tukutane Mtwara.

MD wa BrainUjazo Pastore Mshishi akiwa ameenda kupokea cheti cha utambuzi wa mchango wa BrainUjazo katika matembezi ya h...
12/08/2024

MD wa BrainUjazo Pastore Mshishi akiwa ameenda kupokea cheti cha utambuzi wa mchango wa BrainUjazo katika matembezi ya hisani ya hospitali ya Temeke ya kuchangia vifaa kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati wao yaliyofanyika tarehe 10/08/2024 katika viwanja vya mwembeyanga.

Historia imeandikwa kwa wino wa dhahabu kwenye ubao mtakatifu pale Juu kwa muumba na mtoaji wa hii pumzi. Hayakuwa matem...
11/08/2024

Historia imeandikwa kwa wino wa dhahabu kwenye ubao mtakatifu pale Juu kwa muumba na mtoaji wa hii pumzi. Hayakuwa matembezi tu, bali ni upendo kwa watoto ambao wamezaliwa/watazaliwa kabla ya miezi tisa kutimia.
Watanzania wa Temeke na kote Tanzania walifika kufanikisha,kutimiza nia adhimu ya uchangiaji wa vifaa kwenye wodi ya watoto waliozaliwa kabla ya miezi tisa katika hospitali ya Temeke.
Sauti zimesikika,ujumbe kufika na nia kutimizwa, wazee kwa vijana, walio kwenye ndoa na barobaro, hata watoto wenyewe pia walikuwepo kuhakikisha matembezi haya ya hisani yanafana.
Asanteni sana wanaTemeke, Asanteni waTanzania, Asanteni waanzilishi kwa washiriki. Jambo limeitika, jambo lilifana, jambo limetimia, jambo limekuwa jambo.
Nakosa wino mwingi wa kusema zaidi ya shukrani kwa moyo mkunjufu usio na doa, mweupe k**a theluji, na tunadiriki kusema huu ni upendo mkubwa kwa watoto wetu na kwa Taifa la kesho

**TANGAZO MUHIMU****TRRH WALKATHON**Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke umeandaa matembezi ya hisani kwa lengo ...
13/07/2024

**TANGAZO MUHIMU**

**TRRH WALKATHON**

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke umeandaa matembezi ya hisani kwa lengo la kuchangisha fedha za kununua vifaa vya kuhudumia watoto waliozaliwa kabla ya wakati. Matembezi haya yamepewa jina la TRRH WALKATHON.

Hospitali yetu ina idara ya watoto wachanga na wodi ya neonat HDU, hivyo tunalenga kupata vifaa maalumu ili wodi ya neonat HDU iweze kubadilishwa kuwa Neonat ICU.

Kwa hiyo, ukiwa k**a mtumishi au mwanafamilia wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, unakaribishwa kuchangia katika matembezi haya.

**Viwango vya Michango:**
- Ukichangia TZS 35,000 utapata T-shirt, Medali, na Wristband.
- Ukichangia TZS 20,000 utapata T-shirt pekee.

**Siku ya Matembezi:** Tarehe 10/08/2024
**Umbali wa Matembezi:** 5 Km na 8 Km
**Sehemu ya Kuanzia:** Viwanja vya Mwembe Yanga

**NAMBA YA KUCHANGIA:**
TIGO PESA LIPA NAMBA: 15310786

Ukishachangia, tafadhali tuma ujumbe ukieleza *size ya T-shirt* na *umbali* utakao tembea kupitia namba hizi:
- 0777 883 750
- 0762 210 253

**"Charity starts at home"**
Tuanze sisi wenyewe kufanikisha matembezi yetu.

Aidha, tushirikiane katika kusambaza vibango ili kufikia watu wengi zaidi.

**Kwa maswali na ufafanuzi zaidi, usisite kuwasiliana na Ofisi ya Uhusiano na Mawasiliano.**
✊

Team Nzima Ya BrainUjazo Tunakutakia Kheri wewe unaepambana hukai Bure,Endelea Kufatilia Platform zetu zote za Mitandaon...
01/05/2024

Team Nzima Ya BrainUjazo Tunakutakia Kheri wewe unaepambana hukai Bure,Endelea Kufatilia Platform zetu zote za Mitandaoni.



Instagram.
Twitter/X.
TikTok.
Facebook. Brain Ujazo
YouTube. Brain Ujazo



MNYAMA Bingwa mpya Wa Muungano CupVIPI Wanasimba Mmefurahi au Sio malengo yenu   Instagram.  Twitter/X.   TikTok.  Faceb...
27/04/2024

MNYAMA Bingwa mpya Wa Muungano Cup
VIPI Wanasimba Mmefurahi au Sio malengo yenu



Instagram.
Twitter/X.
TikTok.
Facebook. Brain Ujazo
YouTube. Brain Ujazo


21/04/2024
21/04/2024

Camera Zetu zilimnasa Clement Mzize Akiwa chini Ya Ulinzi mkali wa Makomandoo wa Yanga Dhidi ya Watu waliodaiwa Kwamba ni Maafisa wa Azam waliodaiwa kutaka Kuongea nae mawili matatu

Written by

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BrainUjazo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BrainUjazo:

Share