16/05/2026
Heri ya siku ya kuzaliwa Mheshimiwa Dr. Leonard Duoglas Akwilapo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Tunakupongeza kwa uongozi wako thabiti katika kusimamia sekta ya ardhi nchini. Tunakutakia afya njema, maisha mrefu na hekima zaidi katika kuwatumikia Watanzania na Wananchi wa Jimbo la Masasi Mjini.