NG muzik

NG muzik Msanii wa muziki wa bogo flavour kutoka Tanzania

Piga kaz mama 5tena iyo imeenda
23/03/2025

Piga kaz mama 5tena iyo imeenda

Kuzaliwa masikini ilitubidiIla kufa matajir tunawish
23/03/2025

Kuzaliwa masikini ilitubidi
Ila kufa matajir tunawish

Hakuna cha rahisi chini ya jua k**a utakuwa hujui/
Usishangae kuwa unaishi na rafiki adui/
Na ukigundua ndo utajua hujui/
Bila ku-handle majukum kijana utakiwa hukuwi/
Kwa washua haistui/
Yani dua haisumbui/
Mzushi akizua hachagui/
Anawza sema ashaona juwa linatua asubuh.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255622749059

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NG muzik posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NG muzik:

Share