26/03/2026
Inasemekana kwamba Big Alimpenda zaidi Msanii wake kuliko yeyote na hii ni kwasababu Mzee CHIBU Alimchomoa kutoka uswahilini kabisa na kumtengeneza kuwa Big super star.
Ikumbukwe kwamba Alikuwa na wasanii wengi kwenye Label yake k**a
RAYVANNY
RICH MAVOKO
MBOSSO
LAVALAVA
QUEEN DARLIN
Lakini Msanii wake pendwa Alikuwa ni
k**a mdau wa muziki nini Maoni yako? ๐
Follow
Tupokwaajiliyako