25/01/2022
โ๏ธ๐๐๐๐
Kuna jambo ambalo limekaa kiintelijensia saana kwenye haya mambo ambayo yanaitokea Simba kwa sasa,Nimejaribu kufuatilia karibu ma group mengi nione japo kuna mtu atagundua hili lakini mpaka naandika hivi sijaona mtu akigusa angle hii...Tangu Simba itangaze kujenga uwanja wake wa kisasa imetangaza vita kubwa sana na TFF wakiwepo wadau wakuu wa TFF(FRAT,BODI YA LIGI NA VYAMA VYA SOKA MIKOANI)....Suala la Simba kuwa na uwanja wake ni KUWAAMSHA WALIOLALA...imeonekana Simba kuna watu weledi wanataka kulikomboa soka la Tanzania...kitu ambacho kitaamsha ari kwa vilabu kadhaa nchini,hiyo itawaathiri TFF...na ukitaka kufuatilia kwa kina suala la Udhamini wa GSM ni agenda tu ya kutuhamisha kwenye Main Target ya kujadili na kuchangia Uwanja wetu....HAKUNA USHINDI MKUBWA WANA SIMBA K**A KUJENGA UWANJA WETU....Tuachane na white propaganda za kuhujumiwa viwanjani,Tuache kuwaza kubeba ubingwa bali tuelekeze nguvu kubwa kwenye Uwanja naamini hili litakua zaidi ya KUBEBA MATAJI 50 YA VPL WAKATI HUNA UWANJa
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐
๐๐๐๐๐ Simba SC shabiki Bora