04/07/2025
Unaweza kuwafanya majaji wetu wawe this engaged na act yako?
Hebu muone alivyoingia kwenye hisia hadi akasahau camera!
K**a unaweza kugusa mioyo kwa performance yako nafasi yako ipo NyotaBigi!
Jukwaa lipo wazi kwa kipaji chenye impact!
Kujisajili piga simu number zifuatazo: +255 745 667 661 au +255 674 764 274
Date:05 & 12 July 2025
Location: Makao Makuu TVE/EFM
Kushindania zawadi
Mshindi wa kwanza: TZS 10,000,000
Mshindi wa pili: TZS 3,000,000
Mshindi wa tatu: TZS 2,000,000
+BXTRA Talent Management deal & 1 Year EFM/ TVE promotion package
Proudly Sponsored by: