15/04/2026
Harmonize aweka wazi mambo yake ya siri baada ya skendo zilio sambaa siku chache nyuma za kudaiwa zaidi ya milion 60 ya kodi na baba mwenye nyumba wake
Hivyo aliona aweke vitu vyake hadharani uku akitaka mashabiki wasiache kumsapot
Nukuu
K**a Mlivyosikia Nadaiwa Baba Mwenye nyumba Kanijia
Imenibidi Nifungashe Uzuri Nimepata Nyumba Kali tuu Maeneo Ya GOBA
Huku ..!! Binafsi Sijawahi Kuwa Muoga Wa Madeni Wala Maisha, K**a Kuna
Mtuu Anakudai Au Hata Mtandao Wa Simu Unakudai Na Unasoma Hii
Post .!! Usirudi Nyuma Usijali Kilamtu Anadaiwa Na Nikukumbushe Baadhi
Ya Madeni Niliyo Pata & Kuyalipa Kipindi Hiki Hiki Nikiwa Napambania Imani
Mliyonipa Kwenye MUZIKI İsipotee ..!!
1.LABEL 600.m
2. BANK CRDD 200m.
3. DR JEMBE 100.m
4.SARAH MZUNGU 180.m
5.INVESTED OVER 1.B On the LABEL
IN 3 YEARS I HAVE GOT NOTHING ...!
Sina Jasho La Mtuu Na Hii Imenifunza Hakuna Kitu Cha Bure & Kutofautisha
Kati Ya Makubaliano na Maridhiano Sijawahi Kuleta Janja Janja Wala
Kutafuta Kisingizio Cha Kudhurumu Haki Ya Mtuu Hakuna Laana
INAYONIPATA .!! UPEND0 Na Huruma Yenu Imeniwezesha .!!PLEASE
KEEP GOINGT Siovizuri Sana Kujisifu Mafanikio Machoni Pa Wat
Ndiomaana Huwa Nanyamazaga Hata Lisemwe Nini lla Wewe Jua Kwamba
Nimefanikiwa Kimaisha Mapema Mno Ukifananisha Na Mimi wa Zamani
PARKING YANGU ina Thamani Ya 2.B Yani v8 2 range Rover sport 1 range
Rover defender 2024 1 BMW 4Z 1 Invested on mansion houses than 4.B
my music catalogue ina thamani Ya 5.m USDS nikisema Niiuze Leo.!! SINA
MKOPO WALA MAREJESHO YOYOTE NATAKA NIJIFUNZE ELIMU YA
FEDHA KWANZA ..!! THEN NITAKOPA Anyways Jana Mvua llichapa Sana
Kipande Cha GOBA, Bubaaa..! Nikakutana Na _kusah_ Mazungumzo Yetu
Yalijikita Zaidi Katika Kutambua Mchango & thamani Ya Watu Tulio Nao
Wanao Jitoa Usiku Na Mchana Kwaajili Yetu ...!! Nyakati Hizi Mambo Nİ
YANI ZERO 0
Mengi Sana.!!! Hata Ufanye Nini Unahitaji Mtuu Sahihi Pia Ni Rahisi Sana
Hasa Kwasisi Vijana Kujisahau Na Kumchukulia Poa Ulie Nae for some
time ..! IMAGINE MAMA MTU KAKUBALI TUHAMIE ZETU GOBA ..! HANA
NOMA SHARE THIS TO SOMEONE UNAEMUAMINI kwamba Anaweza
Simama Na Wewe Katika Nyakati Zotee A Mwabie K**A SIO WEWE !!
Nisingekuwa Hapa.!
ameandika Harmonize Katika ukurasa wake wa instagram🖍🖍