Kujurishana Sports

Kujurishana Sports Simba

31/12/2020

Ivi kati ya mapenzi pesa na mapenzi hisia kipi unakiamin apo?

29/06/2020

Wanawake bwana eti wakat mpo baa mnastalehe huwa ana ipingamizi ila wakat mpo ndani anakwambia eti anakwambia tumia kondom siujinga uwo wanaume tusiwe wazaifu by team leadar asubui Wanawake bwana eti wakat mpo baa mnastalehe huwa ana ipingamizi ila wakat mpo ndani anakwambia eti anakwambia tumia kondom siujinga uwo wanaume tusiwe wazaifu by team leadar asubui njema

27/06/2020

Nakubali wanangu. Akuna mkate mgumu mbele ya chai

11/05/2020

K**a mamb umeona ayaendi basi nenda mwenyewe by jj chaoo

Sikila asemae i love you anakupenda ebu jiulize umeambiwa na wangapi lakini hadi sasa ujapata mpenzi wa kweli mapenzi ha...
03/05/2020

Sikila asemae i love you anakupenda ebu jiulize umeambiwa na wangapi lakini hadi sasa ujapata mpenzi wa kweli mapenzi hayapimwi kwa maneno bali hupimwa kwa vitendo NAWAPENDA WOTE By Jj

03/05/2020

Nikweli mapenzi ni hisia kali zisizo zuilika hasa kwa yule umpendae. Usimpotezee mtu anae kujali mana akiondoka ndo utagundua ulikuwa bize unaokota mawe baada ya dhahabu MAPENZI BWANAaa. Unawezaje kuuza ng'ombe wako kisa umepata oda ya ngozi %By Jj chaoooNikweli mapenzi ni hisia kali zisizo zuilika hasa kwa yule umpendae. Usimpotezee mtu anae kujali mana akiondoka ndo utagundua ulikuwa bize unaokota mawe baada ya dhahabu MAPENZI BWANAaa. Unawezaje kuuza ng'ombe wako kisa umepata oda ya ngozi %By Jj chaoooo

02/05/2020

Sio uchawi ni uwezo wa kufikili. Chukua 77 alafu toa miaka yako ya sasa kisha jumlisha 1945 ukipata jibu toa 2 jibu utakalopata ni mwaka wako wa kuzaliwa k**a sio sahihi nitafute 0620745121

nawatakia usiku mwema
30/04/2020

nawatakia usiku mwema

Nikweli mapenzi ni hisia kali zisizo zuilika hasa kwa yule umpendae najiuliza wapi hisia zangu zitanichagulia anipendae
30/04/2020

Nikweli mapenzi ni hisia kali zisizo zuilika hasa kwa yule umpendae najiuliza wapi hisia zangu zitanichagulia anipendae

03/02/2020

nyuki akumbatiwi

08/01/2020

Ivi kaw ya kakolanya na manula nan alikuwa wakuanza ile mech ya simb na yang. By james usiku mwema amin kwamb asili ya nguvu umoja chaoo

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0688424308

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kujurishana Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category