D media tz

D media tz Subscribe to our YouTube channel
https://www.youtube.com/

🌍 HISTORIA IMEANDIKWA!🇨🇩 DR Congo wamerejea kwenye Kombe la Dunia baada ya miaka 52!🐆 Leopards wameonyesha makali yao mu...
01/04/2026

🌍 HISTORIA IMEANDIKWA!

🇨🇩 DR Congo wamerejea kwenye Kombe la Dunia baada ya miaka 52!

🐆 Leopards wameonyesha makali yao muda wa nyongeza, wakiifunga Jamaica 1-0 kwa bao la ushindi kutoka kwa Axel Tuanzebe wa Burnley dakika ya 100!

🏟️ Kutoka kushiriki k**a Zaire mwaka 1974 hadi kufuzu Kundi K mwaka 2026 — sasa watakutana na Ureno, Colombia na Uzbekistan.

🌍 Afrika inaamka! Nani utamshabikia World Cup?

21/03/2026
Kiongozi wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemaliza uvumi na nadharia za njama zilizokuwa zikisambaa kuhusu kifo chake kup...
16/03/2026

Kiongozi wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemaliza uvumi na nadharia za njama zilizokuwa zikisambaa kuhusu kifo chake kupitia video mpya.

Katika video hiyo yenye maelezo “Wanasema nimefanya nini? Tazama hii…”, kiongozi huyo anaonekana akitania kuhusu uvumi huo. Akiwa katika duka la kahawa, anasema kwa mzaha: “Nimekufa… kwa ajili ya kahawa,” wakati akiagiza kahawa yake.

Pia alijaribu kufanya utani kuhusu madai ya kifo chake akitumia msemo wa kawaida wa Kiebrania unaomaanisha kumpenda kitu sana kiasi cha “mpaka kufa”. Alisema: “Naipenda nchi yangu hadi kufa,” akiongeza kuwa anavutiwa na jinsi wananchi wanavyojiendesha.

Katika video hiyo, Netanyahu anaonyesha vidole vyake vyote 10 mbele ya kamera ili kupinga uvumi uliokuwa ukisambaa mtandaoni—ambao hata ulidaiwa kuthibitishwa na Grok—kwamba mkutano wake wa hivi karibuni ulikuwa umetengenezwa kwa teknolojia ya akili bandia (AI).

Katika ujumbe wake, aliwahimiza Waisraeli watoke majumbani mwao kupata “hewa safi”, lakini wakae karibu na maeneo ya kujikinga (shelters) wakati mashambulizi kutoka Iran yakiongezeka.

Pia aliwahakikishia wananchi kuwa vikwazo vya serikali kuhusu shughuli mbalimbali vitaondolewa haraka iwezekanavyo.

“Uungwaji mkono wenu ni wa ajabu—unanipa nguvu mimi, serikali na jeshi la Israel Defense Forces,” alisema.

Aliongeza: “Tunafanya mambo ambayo siwezi kuyasema sasa, lakini leo pia tunafanya operesheni kali sana nchini Iran na Lebanon.”

Aliwataka wananchi wote kufuata maagizo ya Israel Home Front Command wakati wote.

“Hata viongozi wa nchi wanapaswa kuwa karibu na chumba kilicholindwa. Tutafanya kila tuwezalo,” alisema.

Mwisho wa video, alitania tena akisema: “Asante kwa kahawa. Sijui kuhusu kalori… hii inaonekana hatari kwangu.”

🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Supercomputer imetabiri Manchester United kumaliza katika nafasi ya pili katika ligi kuu msimu huu 🙂‍↔️🙂‍↔️Y...
16/03/2026

🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Supercomputer imetabiri Manchester United kumaliza katika nafasi ya pili katika ligi kuu msimu huu 🙂‍↔️🙂‍↔️

YES OR NO???

Dabi ya mzizima hakuna mbabe✊
16/03/2026

Dabi ya mzizima hakuna mbabe✊

15/03/2026

😂😂😂

IMEAHIRISHWA: Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya TRA United vs Simba SC iliyopangwa kuchezwa leo saa 10:00 jioni, imeahiri...
14/03/2026

IMEAHIRISHWA: Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya TRA United vs Simba SC iliyopangwa kuchezwa leo saa 10:00 jioni, imeahirishwa kutokana hali ya uwanja iliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha jijini Arusha.

Taarifa zaidi kuhusu hatma ya mechi hii itatolewa baadaye na Bodi ya Ligi Kuu (TPLB).

NBCPLUpdate

13/03/2026

🗣️🗣️🗣️

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when D media tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share