Tenda Radio Tz

  • Home
  • Tenda Radio Tz

Tenda Radio Tz New's /Entertaining /Music/ Sport's and Interviews News /Blog na Gilly Bonny

  Powered by
03/07/2025


Powered by

  Powered by
23/06/2025

Powered by

 Bado unayo nafasi ya kujisajili na kuhudhuria.Jisajili sasa: tsms.ppra.go.tzCc
11/06/2025


Bado unayo nafasi ya kujisajili na kuhudhuria.
Jisajili sasa: tsms.ppra.go.tz

Cc

Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Watu Wenye Ulemavu Mhe.Stella Ikupa amempongeza Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan...
11/06/2025

Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Watu Wenye Ulemavu Mhe.Stella Ikupa amempongeza Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zinazofanyika ili kusaidia watu wenye ulemavu nchini Tanzania kwenye Ununuzi wa Umma kupitia Mfumo wa NeST

“Aliona hili kundi haliwezi kupigana lenyewe kwahiyo tulitengee Fursa ambayo inaweza kuwa rahisi kwao kuzifikia Tenda zinazotolewa na Serikali”, Amesema Mbunge huyo

Serikali imeweka Sharti la lazima kwa Taasisi Nunuzi kutenga asilimia 30 ya bajeti ya Ununuzi kwa ajili ya Makundi Maalum ambapo hadi sasa Tuzo za Mikataba 14 zenye thamani ya Milioni 174 zimetolewa kwa makundi ya watu wenye ulemavu waliopata Tenda za Serikali kupitia Mfumo wa NeST
___________________________________
YouTube,Audiomack,Boomplay Radio TZ

PEKEE YA TENDA ZA SERIKALI

Powered by

 Tukutane Arusha, Juni 13 - 17, 2025.Jisajili: tsms.ppra.go.tz
10/06/2025


Tukutane Arusha, Juni 13 - 17, 2025.

Jisajili: tsms.ppra.go.tz

Fursa zimejaa hadi zinamwagika,Asilimia 30% ya bajeti  ya Ununuzi wa umma kupitia Mfumo wa NeST imetengwa kwa ajili ya m...
28/04/2025

Fursa zimejaa hadi zinamwagika,Asilimia 30% ya bajeti ya Ununuzi wa umma kupitia Mfumo wa NeST imetengwa kwa ajili ya makundi maalum yaani vijana,wazee na watu wenye ulemavu.

Unazipataje fursa hizi?. Tumekuandalia package iliyojaa Elimu ya jinsi ya kupata mgao huo wa asilimia 30 za Rais Samia katika sehemu ya 10 ya TENDA RADIO tukiwa na
Bw. Gilbert Kamde, Meneja wa Kujenga Uwezo na Huduma za Ushauri wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma PPRA atatueleza jinsi ya kuzipata fursa hizi

Utasikia kauli ya Rais na waliopata fursa watatoa ushuhuda wao

Sikiliza Tenda Radio kupitia

Sikiliza pia kupitia Boomplay,AudioMack na YouTube.Tafuta Tenda Radio TZ

Sikiliza Tenda Radio Jumanne hii Tarehe 29 Aprili 2025 kupitia CG FM Radio 88.5 Tabora  kuanzia saa 3:00 Asubuhi tutazun...
28/04/2025

Sikiliza Tenda Radio Jumanne hii Tarehe 29 Aprili 2025 kupitia CG FM Radio 88.5 Tabora kuanzia saa 3:00 Asubuhi tutazungumzia MGAO WA ASILIMIA 30 ZA RAIS SAMIA KWA MAKUNDI MAALUM (VIJANA,WAZEE NA WATU WENYE ULEMAVU) KUPITIA MFUMO WA NeST

Bw. Gilbert Kamde, Meneja wa Kujenga Uwezo na Huduma za Ushauri wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma PPRA atatueleza jinsi ya kuzipata fursa hizi

Utasikia kauli ya Rais na waliopata fursa watatoa ushuhuda wao

Unaweza kusikiliza pia kupitia Boomplay,AudioMack na Youtube tafuta Tenda Radio TZ

TENDA RADIO IMEPEWA NGUVU NA PPRA

Bahati Sanga,Fundi ujezi anayepatikana Kata ya Mpwampwa,Halmashauri ya Wilaya ya Mpwampwa Mkoani Dodoma ndiye fundi wa k...
05/02/2025

Bahati Sanga,Fundi ujezi anayepatikana Kata ya Mpwampwa,Halmashauri ya Wilaya ya Mpwampwa Mkoani Dodoma ndiye fundi wa kwanza kupata zabuni ya Serikali katika Ngazi ya Kijiji kupitia Mfumo wa NeST

Zabuni hiyo ya ukarabati wa nyumba ya Mganga wa zahanati ya Kijiji cha Kiboriani ilitangazwa na kijji hicho kupitia Mfumo wa NeST

Sanga aliomba zabuni hiyo kupitia App ya NeST kwa kutumia simu yake ya Mkononi
-------------------------------------------------------------------
YouTube,Audiomack,Boomplay Radio TZ

PEKEE YA TENDA ZA SERIKALI

Powered by

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa maagizo kwa ...
05/02/2025

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa maagizo kwa wakurugenzi nchini kusimamia matumizi sahihi ya Mfumo wa NeST

Maagizo hayo yanakuja wakati ambapo kumekuwa na kusuasua kwa baadhi ya Taasisi Nunuzi kutumia Mfumo wa NeST katika zabuni,jambo ambalo linasababisha kuchelewa kwa utekelezaji wa Miradi ya Serikali

Ameyasema hayo jijini Dodoma katika kikao kazi cha Mafunzo ya Mfumo wa NeST kwa Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Makatibu Tawala Wasaidizi wa Miundombinu na Maafisa Manunuzi kutoka Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa

Kwa Taarifa zaidi Sikiliza Tenda Radio kupitia BoomPlay,AudioMack na YouTube

CONNECTION PEKEE YA TENDA ZA SERIKALI

Imepewa nguvu na PPRA

10/05/2024



Usiikose hii. Tusikilize upate fursa, ubadili maisha yako kiuchumi.

Mei 10, 2024 saa 2 Asubuhi hapa Jembe FM.

Tenda Radio imekita kambi jijini Arusha, kuzichambua fursa ya bajeti ya zaidi ya Sh. 104 Bilioni zilizowekwa kwenye Mfumo wa NeST na Halmashauri ya Jiji la Arusha, na jinsi wewe unavyoweza kupata sehemu ya bajeti hiyo. Tuko na Mkurugenzi wa Jiji hilo, Mhandisi Juma Hamsini na walioshinda tenda wanafunguka siri ya ushindi.

18/04/2024

Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Godfrey Nyaisa anaeleza uzoefu wake na Mfumo wa NeST, tunapataje fursa bila 'janja-janja'?

.matinyi

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tenda Radio Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tenda Radio Tz:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share