Maez Habari

Maez Habari NEWS AND HEADLINES

31/05/2023
Kipa umbele wakati wote ni maslahi ya nchi yetu Tanzania !
30/05/2023

Kipa umbele wakati wote ni maslahi ya nchi yetu Tanzania !

MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE UKIENDELEA JIJINI ST PETERSBURG URUSI! DK GWAJIMA AKIMWAKILISHA RAIS SAMIA WA TANZANIA!...
13/10/2021

MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE UKIENDELEA JIJINI ST PETERSBURG URUSI! DK GWAJIMA AKIMWAKILISHA RAIS SAMIA WA TANZANIA!(Katika Picha)

*WANAOTAKA KUZIJUA RANGI ZANGU HALISI WAJARIBU KUDOKOA FEDHA HIZI AU WABADILISHE MATUMIZI BILA MAELEWANO,SINA HURUMA KWE...
10/10/2021

*WANAOTAKA KUZIJUA RANGI ZANGU HALISI WAJARIBU KUDOKOA FEDHA HIZI AU WABADILISHE MATUMIZI BILA MAELEWANO,SINA HURUMA KWENYE FEDHA HIZI - MHE.RAIS SAMIA* .

*JAMBO LA MAMA NI JAMBO LETU*

*MRADI WA MAENDELEO KWA WANANCHI*

"Kuundwe kamati zitakazosimamia lakini kumeshaonekana kuna fedha hapa,kutakuwa na utitiri wa kamati..sitaki utitiri wa kamati,kuundwe kamati za wataalamu katika ngazi za mikoa watakaosimamia hadi ngazi za wilaya chochote kitakachotokea wilayani tunakamata kamati ya mkoa ambayo inasimamia miradi hiyo hapo ndio tunaweza kuwa na responsibility inayoeleweka,tukisema nani kampasia nani hatutaweza kushika mtu lakini kamati zikiwa ndogo tunaweza kushika mtu"

"Nikuagize Waziri Mkuu kwenye ile kamati ya kitaifa uongoze kamati hiyo na msimamie mpango mzima huu wa Mradi huu wa Maendeleo kwa Wananchi"

"Jambo lengine ni kwa Viongozi,Watumishi na Wazabuni...hili niliseme tu kwa wale wanaotaka kuzijua rangi zangu halisi ...mkinitizama hivi mnasema Mhe.Rais ni mweupe lakini nina rangi halisi,kwa wale wanaotaka kuzijua rangi zangu halisi wajaribu kudokoa fedha hizi au wabadilishe matumizi ya fedha hizi bila maelewano"

"Ukiangalia programme hii,Nchi inakwenda kuchemka,kila kona inakwenda kuwa na ujenzi inakwenda kuwa na Miradi ya Maendeleo,niwatake Wakurugenzi wa Halmashauri na timu zao kule chini kwenda kuisimamia Miradi hii ipasavyo"

"Kwenye fedha hii sina huruma na mtu kwasababu,kwasababu nina uwezo wa kupata mikopo mengine yenye gharama nafuu ambayo itaweza kutusogeza kwa haraka,tukivurunda hapa tayari tutakuwa tumejitia doa,kwahiyo sitakuwa na huruma na mtu atakayekwenda kuichezea fedha hii kuanzia Mawaziri wangu,chini kwa Wakurugenzi na wanaowafuata"

Ameyasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19,Leo Oktoba 10,2021 Katika Ukumbi wa JKCC Jijini Dodoma.


Tanzania shines as Zanzibar-born Gurnah wins Nobel PrizeBy Ansbert Ngurumo of SAUTI KUBWA7th October 2021TANZANIAN novel...
07/10/2021

Tanzania shines as Zanzibar-born Gurnah wins Nobel Prize

By Ansbert Ngurumo
of SAUTI KUBWA

7th October 2021

TANZANIAN novelist Abdulrazak Gurnah has won the Nobel Prize in Literature (2021).
He is the first Tanzanian and the latest non-western writer to win the prize following a decision by the Nobel Prize Committee today.
He becomes the fourth black African to win the award. Others before him were Nigerian author Wole Soyinka, South African John Maxell Coetzee and Nadine Gordimer.
To many Tanzanians, Gurnah, who lives in the United Kingdom, is a less-known writer. But to Anders Olsson, who chairs the Nobel Prize Committee, “Gurnah is widely recognised as one of the world’s most pre-eminent post-colonial writers.”
He has written 10 novels – Memory of Departure (1987), Pilgrims Way (1988), Dottie (1990), Paradise (1994), Admiring Silence (1996), By the Sea (2001), Desertion (2005), The Last Gift (2011), Gravel Heart (2017), and Afterlives (2020). He also authored a short story – “My Mother Lived on a Farm in Africa” (2006).
Previous Nobel Prize winners came from western countries, with the USA topping the list with 373 winners. The United Kingdom has 131, German has 108 winners, as France comes a distant fourth with 69 winners.
The Swedish Academy awarded this year’s prize worth 10 million Swedish krona ($1.14m, Tsh.2.7 bn).
As the announcement was made today afternoon, a good number of Tanzanians and friends of Tanzania went into celebrations.
Gunilla Moshi, a Swedish Church deacon and and human rights defender, said: “This is a great event for Tanzania and the rest of the world. It is a wonderful and great decision. Children will read about him and other Africans will be inspired by his achievement that has been eluding non-western authors for a long time. It’s a revolutionary decision.”
Iina Soiri, a Finnish citizen and board member of the Uongozi Institute, said: “I am in Tanzania now now and we are celebrating… His books are great. I love his books. They give wonderful historical perspective to Swahili coast and colonial times. They are not boring but beautiful narrative and create characters that are believable and rich.”
Matinpuro Teemu, the executive director of the Swedish Peace Committee, said: “i think awarding of the Nobel Prize for Literature to Abdulrazak Gurnah emphasizes the importance of understanding the legacy of colonialism that has mainly been overlooked since the 1980s in the so-called western world.”
Absalom Kibanda, author, renowned journalist and former chairman of Tanzania Editors Forum (TEF) said: “Abdulrazak Gurnah has made Tanzania proud. Through his achievement, Tanzania stands high in literary arts and literature as one among giants.”
Juha Rekola, the Emeritus International Ombudsman for the Finnish Union of Journalists, said: “It’s great the price went to an African novelist. He’s not this far translated in Finnish, so he is not well-known here, but perhaps the Price will change it.”
Gurnah, a Zanzibar-born Tanzanian (1948), fled to UK in 1964.
Before his retirement, he was Professor of English and Postcolonial Literatures at the University of Kent, Canterbury.
According to Zanzibar-based seasoned journalist Salim Said Salim, Gurnah was among 30 young men who fled Zanzibar out of the 1964 “political frustrations.” That is the year when Tanganyika merged with Zanzibar to form the United Republic of Tanzania.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maez Habari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Maez Habari:

Share