WINNERS BENZ

WINNERS BENZ WINNERS BENZ NI KUNDI LA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AMBALO LINASIMIMIA BAADHI YA WASANII KATIKA SANAA.

16/11/2024

Finally "Iwachome Remix" it's out now Tanzania 🇹🇿 X Uganda 🇺🇬

🎧 Press play, turn up the volume, and let the music light up your soul. Don’t forget to like, comment, and share with your friends to spread the heat!

🔥 Let’s keep the fire burning! 🔥
Prod: Malley
M&M: ClipperMaster
⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️
https://youtu.be/hk4Tdw1_jqc?si=cKVVkdcCrMsN_EiJ

26/07/2024

Finally “NISAMEHE” Official Music Video is Out now‼️
Directed by
Prod by
Dress code by
Vx by

YOUTUBE CLICK
⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️
https://youtu.be/2z84PTDUCBs?si=XvHXCthMBL3lM0-h

Nisaidie Kushare, Subscribe, comment.
🇹🇿❤️ Out now
Enjoy 🌹

Jifunze kujipa muda mzuri wa kufikiri kuliko kutoa maamuzi wakati wa hasıra 🦒CEO Nassy De Melody  /7
18/07/2024

Jifunze kujipa muda mzuri wa kufikiri kuliko kutoa maamuzi wakati wa hasıra 🦒

CEO Nassy De Melody
/7

Kwa huyu wa sasa jamani nitauwa mtu sio kwa jinsi nimpendavyo hata mseme nini simuachi na ukitaka tugombane basi umseme ...
10/07/2024

Kwa huyu wa sasa jamani nitauwa mtu sio kwa jinsi nimpendavyo hata mseme nini simuachi na ukitaka tugombane basi umseme vibaya na nitatangaza ndoa ili tu Iwachome zaidi🥰🥰


Artwork by
Cc

Nijitulize It is a Swahili word that means calm down, which is derived from an incident that happened to an artist when ...
07/01/2024

Nijitulize It is a Swahili word that means calm down, which is derived from an incident that happened to an artist when he was in a romantic relationship with a woman he loved and respected, but the woman did not know the value of this artist playing with his feelings. I pray that the song will be special for all those who have been hurt in love.

https://audiomack.com/peledenga51/song/nijitulize

Pelle Denga


Huu mwaka eeh hakuna kutulia hakuna kupoa  Tutauwasha moto sana yaani maji yataitwa mmaaa anaitwa  anakuja hii ngoma usi...
05/01/2024

Huu mwaka eeh hakuna kutulia hakuna kupoa Tutauwasha moto sana yaani maji yataitwa mmaaa anaitwa anakuja hii ngoma usiku wa leo get ready link on da bio ila kaka unajuaga sana kunisongea artwork kali na wewe umenyonga sana beat mzee👑👑👑🔥🔥

Napenda kuwapa taarifa watu wote hasa wafanyabiashara na wasanii juu ya huduma mpya ambazo zimeanzishwa rasmi na WINNERS...
28/10/2023

Napenda kuwapa taarifa watu wote hasa wafanyabiashara na wasanii juu ya huduma mpya ambazo zimeanzishwa rasmi na WINNERS BENZ,Huduma hizi zinaitwa Winners Pack.

Winners Pack ni nini?
Winners Pack ni huduma mbalimbali zilizobemba vipengele vingi k**a.
1:Huduma za Mitandao ya kijamii
2:Huduma za Maduka ya kuuzia miziki na malipo ya Netflix.
3:Huduma za Picha kwa mikoa ya Dar Es Salaam,Mwanza na Mara kuanzia bei ya Elfu 3
4:Huduma za Graphics Design za aina zote zipo.
5:Huduma za Video shooting kuanzia laki 3 unapata video kali sana.

Watu wote tunawakaribisha unaeza kuchagua huduma hizi tukuhudumie.



Baada ya ukimya   amerudi tena na ngoma la makopa makopa kwa mwezi huu October uiitwao   akiwa amemshirikisha kijana Pel...
04/10/2023

Baada ya ukimya amerudi tena na ngoma la makopa makopa kwa mwezi huu October uiitwao akiwa amemshirikisha kijana Pelle Denga ambaye ndio msanii mpya katika lebo hii.

#08/10/23 Save the Date
Produced by
Artwork by


Tunaendelea kumshukuru Mungu kuendelea kumlinda huyu tajiri happy birthday C.E.O wa WINNERS BENZ fundi   Nassy De Melody
19/09/2023

Tunaendelea kumshukuru Mungu kuendelea kumlinda huyu tajiri happy birthday C.E.O wa WINNERS BENZ fundi Nassy De Melody

HELLOW SHABIKI ZANGU HII NDIO LINK YETU YA KUPIGIA KURA ILI KUNIPIGIA BONYEZA HII LINK KISHA INGIA KWA BROWSER YAKO BAAD...
16/07/2023

HELLOW SHABIKI ZANGU HII NDIO LINK YETU YA KUPIGIA KURA ILI KUNIPIGIA BONYEZA HII LINK KISHA INGIA KWA BROWSER YAKO BAADA YA KUBONYEZA LINK(LOG IN EMAIL YAKO KUPITIA BROWSER YOYOTE UNAYOTUMIA MFANO CHROME, PHOENIX AU OPERA MINI)KISHA ANGALIA PALIPO NA MAJINA YANGU WEKA ALAMA YA TIKI KISHA UNARUHUSIWA KUPIGA NA VIPENGELE VINGINE NJE NA ULIVYONIPIGIA MIMI NDIPO UWASILISHE AU SUBMIT MWISHO MWA FOMU KUSHOTO HADI HAPO UTAKUWA UMENIPIGIA KURA.

ASANTE.
BONYEZA HII LINK KUNIPIGIA KURA
⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️
https://forms.gle/XhWRiyyCB7L5uFCR6

Tunaendelea kuwashukuru wote mnaofanikisha hili Mungu awabariki sana.Mmefanya haya kwa wimbo huu : Views 3.7k(2weeks) : ...
07/04/2023

Tunaendelea kuwashukuru wote mnaofanikisha hili Mungu awabariki sana.

Mmefanya haya kwa wimbo huu
: Views 3.7k(2weeks)
: Streams 1.1k(4days)
: Streams 500(3 days)
: Kwenye playlist ya Top 100 comments🇹🇿upo namba 2 yaani nyimbo 100 🇹🇿 ambazo zinapata streams na comments kwa muda mfupi iko namba 2.
: Umeingia kwenye VIP mode ambayo hauwezi kudownload huu wimbo offline bila kutazama matangazo ambayo hayo ndio malipo yangu ama Boomplay yako iwe ni umelipia subscription.





🎹🔊 By Neksazy Tz
Art by
🎤 By Nassy De Melody
Brand by WINNERS BENZ

Address

MBEZI KIMARA
Dar Es Salaam
MBEZI

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WINNERS BENZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to WINNERS BENZ:

Share

Category