Burudika online

Burudika online Wauzaji wa movie zilizotafsiriwa kiswahili online,,,,tunatuma popote ulipo. Wasiliana nasi kupitia WhatsApp no 0753765060

20/08/2026

HUMU NI MKONO WA KUTOSHA, ALAFU STORY KALI USISEME!

Movie ya aina hii sio ya kuikosa kabisa! ๐Ÿ˜

๐Ÿ“ฒ Tuchek WhatsApp sasa hivi:
0789578321

๐Ÿ‘‰ Wahi sasa upate yako

19/08/2026

Huyu dada alijikuta amesafiri kutoka maisha ya sasa mpaka kujikuta kwenye kipindi cha Joseon, ambako anakutana na mfalme mkali na mwenye hasira kali. ๐Ÿ˜ฑ

Kwa bahati mbaya, anajikuta akiingia katikati ya maisha ya ikulu yenye siasa, fitina na mapambano ya madaraka

Usikose ni Kali sana wahi whatsapp no 0753765060 kwa maelezo zaidi

17/08/2026

DJ Six Fingers ni BALAAAAA ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Hii movie ni KALI, haijawahi kutokea! ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ’ฅ

Wahi WhatsApp sasa hivi ๐Ÿ“ฒ 0789578321
Njoo u-enjoy movie safi, achana na hayo maigizo yao! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ

15/08/2026

๐Ÿ”ฅ Kwa kifupi: Ni story ya kijana mwenye akili anayenaswa kwenye mtego wa siasa za kifalme, usaliti, mauaji na siri za ukoo, huku akijaribu kujua ukweli kuhusu maisha yake

Njoo whatsapp no 0789578321 kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuipata

12/08/2026

ni story ya Rong Le, princess anayepoteza kumbukumbu na kulazimishwa kuolewa kwa maslahi ya kifalme. Ndani ya ikulu anakutana na siri nzito, siasa za kifalme, usaliti na upendo mgumu, huku akijaribu kugundua yeye ni nani hasa.
Ni drama ya hisia, nguvu ya mwanamke, na mapambano kati ya moyo na wajibu ๐Ÿ‘‘๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‘‰ Ukiipenda, njoo WhatsApp sasa hivi nikutumie full

11/08/2026

HUMU NI MKONO WA KUTOSHA, ALAFU STORY KALI USISEME! ๐Ÿ”ฅ

Kwa kifupi: Ni drama yenye mapenzi, uchawi, usaliti, vita kati ya miungu na mapepo, siri nzito na hatima ya kusisimua!๐Ÿ”ฅ

Movie ya aina hii sio ya kuikosa kabisa! ๐Ÿ˜

๐Ÿ“ฒ Tuchek WhatsApp sasa hivi:
0789578321

๐Ÿ‘‰ Wahi sasa upate yako!

10/08/2026

Ukisikia mikono yenye uzani mzito basi hiki kigongo ni balaa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

1_48final mzigo bado wamoto sana

Tukutane whatsapp 0789578321

07/08/2026

Mtoto mwenye uwezo wa ajabu wa kubadilika kutoka nyoka kuwa binadamu.

Miaka 20 iliyopita, wazazi wake waliuawa na familia ya Raheja na washirika wao kwa tamaa ya kupata jiwe lenye nguvu za kichawi

Usikose kujua story yake movie Kali sana Njoo whatsapp no 0789578321

31/07/2026

Polisi hatari anaingia kwenye msako wa muuaji katili anaesumbua kwa muda mrefu na kuwaacha polisi bila majibu.

Kadiri anavyozidi kumkaribia, anajikuta ameingia kwenye mchezo wa damu unaohusisha magenge hatari, mapambano ya kikatili, na siri zinazoweza kumgharimu kila kitu.

Bonge Moja la movie nimeuza sana hii bado wewe tuu wahi whatsapp 0789578321

21/07/2026

Baada ya familia yake kushambuliwa kikatili na wahuni wenye nguvu,

Jamaa mwenye kipaji cha kung fu analazimika kuachana na maisha ya kawaida na kuanza safari ya kulipiza kisasi

Huu mzigo ni nomaaa sana usijaribu kuikosa k**a unataka picha Kali yenye mkono chukua hii

Whatsapp no 0796340390

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Burudika online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share