FordTech Media

FordTech Media We are a team of creative and multi-talented professionals providing a wide range of services in dig

We know what consumers are looking for, what their values are and how we can meet their needs. We’re open from Monday to...
24/08/2021

We know what consumers are looking for, what their values are and how we can meet their needs. We’re open from Monday to Saturday 9 am to 5 pm Samora Towers posta.

Wakati Timu Kadhaa zikimvizia kocha mkuu wa wekundu wa msimbazi , Tazama alichokifanya Bilionea Mo
03/08/2021

Wakati Timu Kadhaa zikimvizia kocha mkuu wa wekundu wa msimbazi , Tazama alichokifanya Bilionea Mo

Baada ya Mo Dewji kufanikisha ile ahadi yake na kuweka Billioni ishirini Simba, Aweka mkazo mzito juu ya Gomez Kuondoka Simba.

VIDEO: Manara amwaga chozi / Mungu atanilipia
23/07/2021

VIDEO: Manara amwaga chozi / Mungu atanilipia

Sikiliza maneno ya Manara hadi kumfanya alie kwa uchungu.

Trending Video: Manara aanika yote yanayomsibu Simba Sports Club
23/07/2021

Trending Video: Manara aanika yote yanayomsibu Simba Sports Club

Mzozo mkali Simba kati ya Manara na Barbara...

Haya Hapa Matokeo Ya Kidato cha Sita.
11/07/2021

Haya Hapa Matokeo Ya Kidato cha Sita.

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia katibu Mtendaji wake Dkt Charles Msonde jana Julai 10 ametangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita iliyofanyika Mei mwaka huu.  Kulingana na Dkt Msonde, Shule 10 bora zilizoongoza Kitaifa katika mitihani ya kidato cha sita 2021 ni k**a ifuatavyo: ...

Tazama namna soko kuu la kariakoo lilivyoteketea kwa moto usiku wa jana.
11/07/2021

Tazama namna soko kuu la kariakoo lilivyoteketea kwa moto usiku wa jana.

Soko Kuu la Kariakoo Jijini Dar es Salaam limepata pigo baada ya moto kuzuka usiku wa Julai 10 ambapo chazo chake bado hakijafahamika. Vikosi vya zimamoto vilifika eneo la tukio na kufanikiwa kuzima moto huo ambao hadi sasa wanatathmini madhara yaliyotokana na moto huo. Ford TV itakujuza kila litaka...

Asili ya club ya yanga au almaarufu k**a Timu ya wananchi, ilihusishwa na matukio mbali mbali yaliyotokea kuanzia mwaka ...
21/06/2021

Asili ya club ya yanga au almaarufu k**a Timu ya wananchi, ilihusishwa na matukio mbali mbali yaliyotokea kuanzia mwaka 1910. Kipindi hicho kabla ya kuanzishwa club ya Yanga, vijana wazalendo wa jiji la Dar es salaam, walikuwa na desturi yao wenyewe ya kukutana katika viwanja vya jangwani kufanya mazoezi ya mpira wa miguu. Na ilipofik mwaka 1926, waliamua kuunda timu yao sasa ambayo waliipa jina la Jangwani SC.
KWA SIMULIZI KAMILI TAFADHALI TEMBELEA YOUTUBE CHANNEL YETU YA FORD TV TANZANIA. LINK IPO KWENYE BIO.


Historia ya club ya simba ina simulizi ndefu na nyingi sana uwanjani. Hivi unajua Simba ndiyo club ya Kwanza kabisa nchi...
21/06/2021

Historia ya club ya simba ina simulizi ndefu na nyingi sana uwanjani. Hivi unajua Simba ndiyo club ya Kwanza kabisa nchini kuvaa viatu kwenye mpira wa miguu ambapo ilikuw mnamo mwaka 1938. Na pia Simba ndiyo club ya kwanza kabisa kuvaa jezi rasmi kwenye mechi zao mnamo mwaka 1951.
Na mwaka 1960 Simba ndiyo club ya kwanza nchini kupanda Ndege kwenda kwenye mashindano huko nchi za nje.
KWA SIMULIZI KAMILI TAFADHALI TEMBELEA YOUTUBE CHANNEL YETU. LINK IPO KWENYE BIO.


Zijue Athari na maamuzi ya Ronaldo baada ya tukio lake kutikisa mitandao
18/06/2021

Zijue Athari na maamuzi ya Ronaldo baada ya tukio lake kutikisa mitandao

Hiki ndicho alichoamua Christian Ronaldo dhidi ya Cocacola

Tazama kufahamu yanayojili juu ya afya ya kiungo wa Intermilan Christian Eriksen https://youtu.be/2fZ1g2i7nsI
16/06/2021

Tazama kufahamu yanayojili juu ya afya ya kiungo wa Intermilan Christian Eriksen

https://youtu.be/2fZ1g2i7nsI

Fahamu hali ya kiafya ya Christian Eriksen Mchezaji mpira wa timu ya Intermilan

Address

Ground Floor, Samora Towers
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FordTech Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FordTech Media:

Share