Habarimpya

Habarimpya Japo Investment Network Limited is the primary private agency that aims at coordinating, encouraging, promoting and facilitating investments in Tanzania

Japo Investment Network Limited is the primary private agency that aims at coordinating, encouraging, promoting and facilitating investments in Tanzania and worldwide. The company advises the investors on investment matters, and links them directly to the Tanzania Investment Centre (TIC). The firm is a focal point for investors in getting potential information of investment areas in Tanzania, such

as business registration, license and business approval. Japo also markets investment areas available in the country through its website, and directs how the community can benefit through such ventures. Japo plans to create jobs opportunities for Tanzania experts in the investment networking for the development of the country. The firm also aims to involve the nearby community in the investment benefits.

Hii ndiyo mipango y mujini
28/06/2016

Hii ndiyo mipango y mujini

Karibu wadau
28/06/2016

Karibu wadau

02/05/2015

        Dar es Salaam,Tanzania Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii linasikitika kuwatangazia Wadau wake wote na umma kwa ujumla kuwa kwa sababu ziliz...

25/04/2015

Wakati Chadema ikihofia kwamba ujui wa ACT ni mipango ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kukaa madarakani. CCM nao k**a Chama Tawala inakumbwa na hofu juu ya ujio wa ACT, kwa madai kwamba kuna watu wenye uchu wa daraka ndani ya CCM waliojificha ACT, ili wakikosa nafasi huko mara moja watahamia A…

22/04/2015

Mpaka hivi sasa inaelezwa kuwa zaidi ya watu 15 wameshapoteza maisha katika vurugu hizo, huku mali nyingi zilizokuwa zikimilikiwa na wageni zikiharibiwa, hili ni tukio la pili kufanyika nchini humo, tukio la kwanza ilikuwa mwaka 2008 ambapo watu 60 waliuawa katika vurugu za aina hiyo, huku mara zote…

21/04/2015

"Sio wote wanaovamiwa, wavamizi Wakikuuliza unatokea wapi na ukawaambia kuwa wewe ni Mtanzania hawakugusi!' 'Xen ophobia is Selective Not all people are subjected to violence When they ask you where are you from and you tell them that you are a Tanzanian they don't touch you"Said Hon Membe.

19/04/2015

TOKOMEZA AJALI ZA BARABARANI,KULINDA FAMILIA,KUINUA UCHUMI WA NCHI.
Tovuti ya habarimpya.com kwa kushirkiana na wadau mbalimbali, inaandaa kongamano pamoja na matembezi ya amani kwa ajili ya kupaza sauti juu ya uwezekano wa kupunguza k**a si kukomesha kabisa ajali za barabarani, kwani hali inatisha haiingii akilini kwamba ndani ya miezi mitatu mwa huu wa 2015 watanzania zaidi ya 100 wamekufa kwa ajali za barabarani nchini, ili kuwezesha hili tunaomba ushirikiano wako, kongamano litahusu mafunzo ama semina kwa madereva wa vyombo mbalimbali watakaofika siku hiyo. pamoja waendao kwa miguu, kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255754632419/ +255715632419, semina na kongamano itafanyika katika miji ya Dar es Salaam,Arusha,Mwanza Mbeya,Morogoro,Kilimanjaro na Dodoma. pia wafadhili mbalimbali wanakaribishwa ili ujumbe uliokusudiwa uwafikie walengwa.TANZANIA BILA AJALI ZA BARABARANI INAWEZEKANA K**A MIMI NA WEWE TUKISHIRIKIANA.

19/04/2015

Habarimpya.com ikiwa nchini Afrika Kusini imebaini kwamba Mfalme Goodwill Zwelithini amekuwa akizitaja nchi za Somalia,Ethiopia,Zimbabwe,Zambia,Namibia,Rwanda,Uganda, Senegal,Sudan,Morroco,Misri, Lybia,Algeria,Tunisia,Cameroon,Togo, Nigeria na Congo DRC kuwa nchi hizo raia wake hawatakiwi kuishi nch…

15/04/2015

“Polisi walipofika katika msikiti huo waliuomba uongozi wa msikiti huo kuwatoa watu wote waliokuwa msikitini ili kuweza kubaini watu ambao wanatiliwa mashaka,” Alisema polisi walendelea na ukaguzi na kuwak**ata watu hao 10 wakiwa na vifaa hivyo na kuwatia nguvuni. Kamanda huyo alitaja vitu vilivyoku…

12/04/2015

Rais Uhuru Kenyatta,pamoja na Rais Jakaya Kikwete ni kati ya viongozi wanaokimbia vimvuli vyao Afrika mashariki.Marais hawa k**a vile wameambizana kufanya zoezi la kukimbia vimvuli vyao.Nalazimika kuliamini hili kwa sababu ya uswahiba wao pamoja na matendo yao katika utawala wao.Hivi karibu Serikali…

Makala iliyoandikwa katika tovuti ya habarimpya.com hivi karibuni kuhusu Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuwa chanzo cha ma...
11/04/2015

Makala iliyoandikwa katika tovuti ya habarimpya.com hivi karibuni kuhusu Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuwa chanzo cha magaidi nchini Kenya, imeanza kuleta matunda nchini humo, kuna taarifa za siri kutoka ndani ya Serikali ya Kenya kuwa Rais Kenyatta anatafuta uwezekano wa kutoa majeshi yake nchini Kenya pamoja na kukutana kundi la Mungiki kwa niaba ya Al-Shabaab. pili inaelezwa kwamba makala hiyo imejadiliwa katika Ikulu ya Rais tutaendelea kuwajuza kitakacho endelea kuhusu makala hiyo, k**a hauku bahatika kuisoma bofya hapo chini. Habarimpya.com inaongoza wengine wanafuata.http://www.habarimpya.com/en/zilizopita/item/4139-rais-kenyatta-chanzo-cha-al-shabaab-kenya

Mtu aliyefanya Serikali ya Mwai Kibaki ipeleke majeshi nchini Somalia kwa nia ya kupambana na Al-shabaab ni Rais wa sasa wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta. wakati Kibaki akiwa madarakani Kenyatta alikuwa kiongozi wa kikundi cha magaidi,machokora na waporaji wa mali za raia wa wakenya na wageni liitwalo Mu…

11/04/2015

Here are some things we can help you with: You will receive 20% percent from any publishing adverts on our website.think about Development let us help you build your business and rising income today. Get 20% Now!Today is the day you turn your ideas into reality.

Address

+255 715632419/+255754632419 Mail Info@habarimpya. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habarimpya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habarimpya:

Share