Byno Muziki

Byno Muziki Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Byno Muziki, Media, Dar es Salaam.

Happiness is not Something ReadyMade, It comes from your Own Actions!…
16/03/2024

Happiness is not Something ReadyMade, It comes from your Own Actions!…

Nimefurahi sana!… Yanga!!!💚💚💚💚
24/02/2024

Nimefurahi sana!… Yanga!!!💚💚💚💚

Wakati wa Mungu ni wakati Sahihi sana!...
15/02/2024

Wakati wa Mungu ni wakati Sahihi sana!...

Just Life!…
08/02/2024

Just Life!…

Siku moja Marafiki wawili waliamua kuongozana kwa kutembea kuelekea mbali kutafuta Mkate wa siku!...Wakati wakiwa njiani...
08/07/2023

Siku moja Marafiki wawili waliamua kuongozana kwa kutembea kuelekea mbali kutafuta Mkate wa siku!...

Wakati wakiwa njiani walianza kubishana kwa kupishana na ndipo Mmoja akaamua kumpiga Kibao mwenzie ili kumnyamazisha!...

Yule aliyepigwa Kofi la Usoni akainama chini na kuanza kuandika kwenye Mchanga kwamba "Leo rafiki yangu kipenzi amenipiga Kofi Usoni!...

Safari ikaendelea, baadaye wakakuta sehemu kuna Mto wenye Maji yanayotembea na kwa sababu walikua wamechoka basi wakaamua kuvua nguo na kuanza kuogelea kwa zotee

Baada ya Muda mfupi yule jamaa aliyepigwa kofi la Usoni akaanza kuvutwa na maji hivyo akaanza kuouga kelele za kuomba Msaada ili asizame chini ya Maji na kupoteza Uhai wake!...

Rafiki yake akamfuata kwa haraka na kuweza kumvuta nje ya ule Mto huku akiwa anapumua kwa haraka na mfukululizo kwa sababu ya hofu ya kilichotokea... Hivyo basi Jamaa akasogea karibu na Jiwe na kisha kuanza kukichora lile jiwe kwa kuandika "Leo rafiki yangu kipenzi ameokoa Maisha yangu"...

Yule jamaa mwingine akashangaa sana na ndipo akamuuliza mbona nlipokupiga kofi la Usoni ukaandika chini kwenye Mchanga na sasa nimekuokoa kutoka kuzama kwenye Maji, unaandika katika jiwe. Hii maana yake nini????

Ndipo yule Mchizi akajibu tunapokua tumekosewa na watu wetu wa karibu hatuna budi kuandika katika Mchanga ili upepo na Maji yaje yafute yale maandishi na Maumivu lakini tunapokua tumefanyiwa Mema basi hatuna budi kuandika kwenye Mawe ili Maandishi hayo yaweze kuweka na yasiweze kufutika milele...!

Tujifunze Kusamehe

Sometimes tunakua tunafanya Vitu kwa Mazoea bila kufikiri kwa kina   zake kwa baadae…!Haya Mambo ya Kupima matokeo ya Ja...
22/10/2022

Sometimes tunakua tunafanya Vitu kwa Mazoea bila kufikiri kwa kina zake kwa baadae…!

Haya Mambo ya Kupima matokeo ya Jambo lenye Matokeo hafifu na kusema ni tunachelewa sana…!

Chagua Vizuri Plan zako ili Uachane na Mambo ya Ilhali akili yako inatosha kabisa kuchanganua Faida na Hasara ya kila unachokifanya…!

Msingi wa Kuwa huru katika Maisha ni Kujiamini na Kuamini kuwa kila unachopitia kipo kwa ajili yako na Kimekuja ili Ujif...
24/07/2022

Msingi wa Kuwa huru katika Maisha ni Kujiamini na Kuamini kuwa kila unachopitia kipo kwa ajili yako na Kimekuja ili Ujifunze kitu!…

Mambo Mengine yanaumiza sana ila hutapata maana kwa kutaka kuyatafsiri Papohapo!…

Acha Muda upite, Yape Muda kidogo, tuliza Akili ndipo utaweza kupata ama kuona tafsiri iliyo Sahihi zaidi kwani “Kima Cha Hekima Chapita Marijani”

“The price of wisdom is above rubies”
-Job 28:18-

23/07/2022

Ukiweza kuwa chanzo cha kutatua matatizo yako wewe Mwenyewe, hyo itakufanya Kukaa katika nafasi ambayo unaweza kufanya Maamuzi yako wakati wowote!..

Ulimwengu tulionao kwa Sasa unahitaji sana Utegemezi Binafsi ili uweze kutimiza ndoto zako!..

“Independence is happiness”
-Susan B. Anthony-

21/07/2022

Kiukweli hata mimi
😂😂😂😂

18/07/2022

Kuna haja kubwa ya kuwa na Mtu Ambaye Unaweza Kumuamini katika Kutimiza ndoto zako!…

Makosa Kibinadamu yapo na hatuwezi kuyakwepa ikitokea unayemuamini akakukosea haina haja ya Kulaumu kwamba umekosea Kumuanini yeye!…

Tuliza Akili Angalia Vigezo vyako hakikisha unayemuamini Unajiona Wewe katika Yeye…

“Friends are relatives you make for yourself”
-Eustache Deschamps-

11/07/2022

Kuna Haja kubwa sana ya Kuendelea kufanya Mabadiliko katika kila unachokifanya!..

Tathmini ya kila unachokifanya itakupa Picha ya Halisi ya nini unatakiwa kufanya ili kuboresha zaidi!…

“Our only security is our ability to change”
-John Lilly-

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Byno Muziki posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category