MGnews

MGnews Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MGnews, Digital creator, Dar es Salaam.

02/09/2026

Game gani la action Kali kuliko hili!??


02/09/2026
02/09/2026

Huu mwezi wa 9
Lazima tushike pesa nyingi
Sema Amina,
K**a wewe ni mwanachama
Wa

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za bidhaa za mafuta ya Petroli zitakazoanza...
01/09/2026

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za bidhaa za mafuta ya Petroli zitakazoanza kutumika kuanzia Jumatano, Septemba 2, 2026 saa 6:01 usiku.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Katika mwezi Septemba 2026, bei za Mafuta nchini zimeshuka kwa Shilingi 102 kwa lita na Petrol na Shilingi 101 kwa lita ya Dizeli. Hii ni kutokana na hatua mbalimbali ambazo Serikali imezichukua ili kuwa na bei himilivu za Mafuta hapa nchini

Kwa Dar es Salaam, bei ya rejareja kwa lita moja itakuwa Sh3,796 kwa petroli, Sh3,877 kwa dizeli na Sh3,713 kwa mafuta ya taa.

Mkoani Tanga, Petroli itauzwa kwa Sh3,872, Dizeli Sh3,953 na Mafuta ya taa Sh3,789 kwa lita.

Huku Mtwara, bei ya petroli itakuwa Sh3,909, dizeli Sh3,990 na mafuta ya taa Sh3,825 kwa lita.

EWURA imewataka Wafanyabiashara wa Mafuta kuuza bidhaa hizo kwa bei zisizozidi viwango vilivyotangazwa, huku ikisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mfanyabiashara atakayekiuka agizo hilo.

01/09/2026

Klabu ya Manchester City imemtambulisha rasmi winga Iliman Ndiaye k**a mchezaji wao mpya baada ya kukamilisha uhamisho wake wa pauni milioni 65 pamoja na nyongeza akitokea Everton.

Ndiaye (26) raia wa Senegal amesaini mkataba wa miaka mitano utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2031.

Manchester City imefikia makubaliano kamili na Chelsea kumsajili kiungo wa kimataifa wa Argentina 🇦🇷   kwa ada ya pauni ...
01/09/2026

Manchester City imefikia makubaliano kamili na Chelsea kumsajili kiungo wa kimataifa wa Argentina 🇦🇷 kwa ada ya pauni £125 milioni.
* Ada ya Uhamisho: Pande zote mbili zimekubaliana ada inayofikia £125M, ambayo inalingana na rekodi ya ada kubwa zaidi ya usajili katika historia ya soka nchini Uingereza.
* Mkataba wa Mchezaji: Enzo anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 6 utakaomweka katika uwanja wa Etihad hadi mwaka 2032.
* Vipimo vya Afya: Chelsea imempa ruhusa mchezaji huyo kufanya vipimo vya afya ili kukamilisha taratibu zote za mwisho za usajili huo.
* Muktadha wa Kikosi: Usajili huu unakuja kuimarisha safu ya kiungo ya baada ya mabadiliko kwenye kikosi chao katika dirisha hili la .

01/09/2026

Kati ya sehemu ya kulala ya uhakika na sehemu ya kula ya uhakika
Unachagua upande gani?

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MGnews posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share