Yanga Africans

Yanga Africans Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yanga Africans, Digital creator, Dar es Salaam.

09/12/2025

Goli pekee la Prince Dube, Young Africans Sports Club Vs As Far Rabat

21/11/2025

Celebrating my 8th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. ๐Ÿ™๐Ÿค—๐ŸŽ‰

๐ŸŽ‰ Facebook recognized me as a consistent reels creator this week!
12/11/2025

๐ŸŽ‰ Facebook recognized me as a consistent reels creator this week!

๐ŸŽ‰ Facebook recognized me as a top rising creator this week!
27/10/2025

๐ŸŽ‰ Facebook recognized me as a top rising creator this week!

Hakuna kuchoka Wananchi Tunafuzu๐Ÿ’š๐Ÿ‘Š๐Ÿ”จ25 October, Vs Silver Strikes Benjamin Mkapa stadium ๐ŸŸ๏ธ
20/10/2025

Hakuna kuchoka Wananchi Tunafuzu๐Ÿ’š๐Ÿ‘Š๐Ÿ”จ
25 October, Vs Silver Strikes
Benjamin Mkapa stadium ๐ŸŸ๏ธ

Taarifa kwa UMMA..
18/10/2025

Taarifa kwa UMMA..

Makolo wanaendelea kutaabika kwa Mkapa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜…Makolo 1-1 Gaborone
28/09/2025

Makolo wanaendelea kutaabika kwa Mkapa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜…
Makolo 1-1 Gaborone

๐Œ๐€๐“๐‚๐‡ ๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ๐Ÿ†  Young Africans ๐Ÿ†š Wiliete SC๐Ÿ—“๏ธ 19 September 2025๐ŸŸ๏ธ The Estรกdio 11 de Novembroโฑ๏ธ 4:00PM๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด | 6:00PM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ  Young A...
19/09/2025

๐Œ๐€๐“๐‚๐‡ ๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ

๐Ÿ†
Young Africans ๐Ÿ†š Wiliete SC
๐Ÿ—“๏ธ 19 September 2025
๐ŸŸ๏ธ The Estรกdio 11 de Novembro
โฑ๏ธ 4:00PM๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด | 6:00PM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ


Young Africans Sports Club

Pacรดme Zouzoua โ€“ Mchawi wa Dimba๐Ÿ’š๐Ÿ”จ๐Ÿ™Œ Pacรดme si mchezaji wa kawaida; ni msanii wa mpira mwenye miguu yenye akili ya haraka...
14/09/2025

Pacรดme Zouzoua โ€“ Mchawi wa Dimba๐Ÿ’š๐Ÿ”จ๐Ÿ™Œ

Pacรดme si mchezaji wa kawaida; ni msanii wa mpira mwenye miguu yenye akili ya haraka na maono yanayovuka mipaka ya kawaida ya uwanjani. Akiwa na umri wa miaka 28 tu, bado anabeba ukomavu na utulivu wa mchezaji mwenye uzoefu mkubwa.

1. Uwezo wake mkubwa uko kwenye ubunifu: anaposhika mpira, mashabiki wanainuka vitini kwa sababu wanajua kitu cha kipekee kinakaribia kutokea. Kila pasi yake ni k**a penseli inayochora ramani mpya ya ushindi, kila dribble yake ni k**a muziki wa kinanda unaochochea midundo ya furaha.

2. Akiwa Yanga SC, Zouzoua si tu mchezaji โ€“ bali ni nguzo ya matumaini kwa mashabiki, akiwasha moto wa ushindi na kuleta heshima kwa jezi ya kijani na manjano.

3. Wengine huita tu "kiungo mshambuliaji", lakini ukweli ni kwamba Pacรดme ni jembe la kutisha, mbunifu wa ndoto, na askari wa mashambulizi ambaye hachoki kuwaletea mashabiki wake kilio cha furaha.

Kituo kinachofuata___NGAO YA JAMII 16-09-2025

WIKI YA MWANANCHI๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’šUzinduzi wa Hamasa ya Wiki ya Mwananchi 2025 unafanyika hapa Mbagala Zakhiem Muda huu..
03/09/2025

WIKI YA MWANANCHI๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š

Uzinduzi wa Hamasa ya Wiki ya Mwananchi 2025 unafanyika hapa Mbagala Zakhiem Muda huu..


Young Africans SC tutakutana na Wiliete Benguela SC kutoka Angola kwenye mchezo wa hatua ya awali ya Klabu Bingwa Barani...
09/08/2025

Young Africans SC tutakutana na Wiliete Benguela SC kutoka Angola kwenye mchezo wa hatua ya awali ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya tarehe 19-21 Mwezi wa 09, 2025

Karibu Jangwani Thulabantu ๐Ÿ‘๐Ÿ’šMchambuzi wa Video za Michezo(Video Analyst)
05/08/2025

Karibu Jangwani Thulabantu ๐Ÿ‘๐Ÿ’š
Mchambuzi wa Video za Michezo(Video Analyst)


Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga Africans posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Yanga Africans:

Share