Uni JAMII

Uni JAMII Karibu sana Ukurasa wetu rasmi wa Jukwaa letu la Uni JAMII

Nafasi 22 za Ajira Kwa MADEREVA kutoka Mtibwa Sugar Estates Limited👇👇👇👇👇👇https://my.unijamii.com/lv5qm▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
24/07/2025

Nafasi 22 za Ajira Kwa MADEREVA kutoka Mtibwa Sugar Estates Limited

👇👇👇👇👇👇
https://my.unijamii.com/lv5qm
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

Joti anawaza nini?
23/07/2025

Joti anawaza nini?

Jiunge na Channel yetu ya WhatsApp ya UNIJAMII upate fursa za elimu, ajira, matokeo, na mijadala ya wanafunzi kwa haraka...
22/07/2025

Jiunge na Channel yetu ya WhatsApp ya UNIJAMII upate fursa za elimu, ajira, matokeo, na mijadala ya wanafunzi kwa haraka na kwa uhakika!
👉 Bonyeza hapa kujiunga
https://whatsapp.com/channel/0029VbC4jbU7dmeQXwGGaS2e
UNIJAMII – Mahali Sahihi kwa Taarifa Sahihi.

KOCHA MPYA WA YANGA SC 🔰 Kocha mpya wa Yanga SC, Romain Folz (38) raia wa Ufaransa na Morocco, alianza maisha yake ya uk...
21/07/2025

KOCHA MPYA WA YANGA SC 🔰

Kocha mpya wa Yanga SC, Romain Folz (38) raia wa Ufaransa na Morocco, alianza maisha yake ya ukufunzi mwaka 2018 kunako klabu ya West Virginia United ya Marekani.

Sehemu ya mafanikio yake ya ukufunzi akiwa barani Afrika.

▪️KAMA KOCHA MSAIDIZI

Pyramids FC (Egypt), 2019-2020
Niort (France) 2020-2021
Memelod Sundown ( South Africa) 2024

▪️KAMA KOCHA MKUU

Bechem United (Ghana), 2020
Ashanti Gold (Ghana), 2021
Township Rollers (Botswana), 2021-2022
Marumo Gallants (South Africa), 2022
AmaZulu FC (South Africa),2022-2023
Horoya AC (Guinea), 2023-2024

▪️KOCHA TIMU ZA TAIFA

Ukiachia mbali majukumu kwenye ngazi ya klabu pia kocha Romain Folz aliwahi kuinoa timu ya taifa ya Uganda U20 mwaka 2019 k**a kocha msaidizi chini ya Corentin Martins.

Mwaka huo huo amapata shavu nchini Mauritania kuwa kocha msaidizi wa taifa hilo na kufanikiwa kuipeleka fainali za AFCON 2021.

KUNGINEKO

Pia Romain Folz amewakuwa sehemu ya watendaji wa shirikisho la mpira wa miguu FIFA akishiriki kikamilifu katika miladi mbalimbali ya kukuza soka.

Kabla ya kuajiliwa Yanga , Romain Folz alikuwa nchini Algeria k**a Mkurugenzi wa ufundi kunako timu ya Olympic Akbou.

Msimu wa 2025-2025 atakuwa akikiongoza kikosi cha Wananchi 🔰, je ataweza kuivusha hadi nchi ya ahadi?🤷

BREAKING NEWS: Mohamed Hussein (Zimbwe Jr)  aaga wanasimba  rasmi👇👇👇👇👇👇https://my.unijamii.com/f360s▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
19/07/2025

BREAKING NEWS: Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aaga wanasimba rasmi

👇👇👇👇👇👇
https://my.unijamii.com/f360s
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

TAARIFA YA AJALI YA BARABARANI – KILOLO, IRINGAWatu watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya b...
18/07/2025

TAARIFA YA AJALI YA BARABARANI – KILOLO, IRINGA

Watu watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo majira ya saa 12:00 asubuhi katika Kijiji cha Imalutwa, Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa, kwenye barabara kuu ya Morogoro–Iringa.

Ajali hiyo imehusisha basi dogo aina ya Fuso Mini Bus lenye namba za usajili T 562 EBK lililokuwa likiendeshwa na Akhan Mpagile (45), mkazi wa Njombe, ambalo liligonga kwa nyuma lori aina ya Howo lenye namba T 857 DVZ pamoja na trela T 460 EAM, mali ya kampuni ya Glenrich Transportation Co. Ltd, ambalo lilikuwa limesimama barabarani.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa, chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa basi, ambaye alishindwa kulimudu gari lake na kugonga lori lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Iringa likiwa limebeba mzigo wa unga.

Majina ya waliopoteza maisha katika ajali hiyo ni:

1. Akhan Mpagile – Dereva wa basi

2. Alfred Mgaya – Utingo wa basi

3. Feleschina Masigati (36) – Abiria

Watu wengine sita walijeruhiwa na kwa sasa wamelazwa katika hospitali za karibu wakipatiwa matibabu.

Aidha, dereva wa lori alikimbia mara baada ya ajali hiyo kutokea, na juhudi za Jeshi la Polisi zinaendelea ili kumtia nguvuni kwa ajili ya mahojiano na hatua zaidi za kisheria.

Jeshi la Polisi linatoa wito kwa madereva kuwa waangalifu barabarani, kufuata sheria za usalama barabarani na kuhakikisha vyombo vya usafiri vinakuwa katika hali salama kabla ya safari.

 Young Africans SC imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo M***a Balla Conte kutoka CS faxien kwa mkataba wa miaka mitatu.
18/07/2025



Young Africans SC imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo M***a Balla Conte kutoka CS faxien kwa mkataba wa miaka mitatu.

 Alhamisi Julai 17, 2025
17/07/2025



Alhamisi Julai 17, 2025

NAFASI ZA KAZI 500+ KUTOKA SERIKALINI- KWANZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA UTUMISHI»»»»»» https://my.unijami...
15/07/2025

NAFASI ZA KAZI 500+ KUTOKA SERIKALINI- KWANZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA UTUMISHI»»»»»»
https://my.unijamii.com/u9vzg

Magazeti ya leo 15 Julai 2025
14/07/2025

Magazeti ya leo 15 Julai 2025

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255743883665

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uni JAMII posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Uni JAMII:

Share

SOKA BILA MIPAKA

HABARI ZA MICHEZO ULIMWENGUNI