Kal Media

Kal Media News

Malkia Elizabeth amefariki akiwa na umri wa miaka 96, Ikulu ya Buckingham imethibitisha. Alikufa kwa amani mchana wa leo...
08/09/2022

Malkia Elizabeth amefariki akiwa na umri wa miaka 96, Ikulu ya Buckingham imethibitisha. Alikufa kwa amani mchana wa leo huko Balmoral. Buckingham Palace ilisema: "Malkia alikufa kwa amani huko Balmoral alasiri hii. The King and The Queen Consort watasalia Balmoral jioni hii na watarejea London kesho” Soma zaidi: https://bit.ly/3AZSVqD

Share,like page

Nchi ya Gambia imewaonya wanawake wenye umri mkubwa (mashuga mum) kutoka Nchini Uingereza kusafiri na kuingia Nchini hum...
08/09/2022

Nchi ya Gambia imewaonya wanawake wenye umri mkubwa (mashuga mum) kutoka Nchini Uingereza kusafiri na kuingia Nchini humo kisha kuwalipa fedha vijana ili wafanye Mapenzi.

Una maoni gani juu ya mashuga mum hao huko Gambia?
Share,like page.

Kikosi cha mnyama 🦁🦁🦁 kitakachoanza dhidi ya Yanga.Tabiri matokeo hapo.Share,like page
25/07/2021

Kikosi cha mnyama 🦁🦁🦁 kitakachoanza dhidi ya Yanga.

Tabiri matokeo hapo.

Share,like page

Alianza na Bwn. Senzo Mbatha, akamfata Mkude Jonas na sasa yupo na Manara!!!!Who's next? Nani anafuata?Barbara effect. ☻...
22/07/2021

Alianza na Bwn. Senzo Mbatha, akamfata Mkude Jonas na sasa yupo na Manara!!!!

Who's next? Nani anafuata?

Barbara effect. ☻

Share,like page

Haji Manara katika video yake ya sauti kule Instagram, amesikika akiongea kuwa kati yake au Bvbra Gonzalez, mmojawapo at...
21/07/2021

Haji Manara katika video yake ya sauti kule Instagram, amesikika akiongea kuwa kati yake au Bvbra Gonzalez, mmojawapo ataondoka Simba, mwishoni akimalizia kwa kusisitiza kwamba atahakikisha kumuondoa ndani ya Simba CEO Bvbra kwa fedheha kubwa sana, ak**alizia na 'Koma', k**a alivyomkomesha mchambuzi Prisca kishamba.

'CEO huyo amekuwa akimtuhumu Haji Manara kuwa anaihujumu klabu ya Simba kwa kuvujisha siri za kambi kwa mahasimu wao Yanga mara kwa mara.'

Je, CEO aondoke? Au Manara?☻

Muda utaamua.

Share,like page

Je, Haji Manara anaachana na Simba SC Tanzania?Mashabiki wa msimbazi mpo tayari kuachana na Manara?Share,like page 🦁
21/07/2021

Je, Haji Manara anaachana na Simba SC Tanzania?

Mashabiki wa msimbazi mpo tayari kuachana na Manara?

Share,like page 🦁

TETESI:........k**a mchezaji huru.
13/07/2021

TETESI:
........k**a mchezaji huru.

MILIONI 2 KWA ATAKAETOA TAARIFA ZA UHALIFU WA KUTUMIA SILAHA>>Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza...
23/06/2021

MILIONI 2 KWA ATAKAETOA TAARIFA ZA UHALIFU WA KUTUMIA SILAHA

>>Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza donge nono la kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za kweli na kwa usiri mkubwa kwa jeshi hilo kuhusu mtu anayefanya uhalifu wa kutumia silaha, lengo likiwa ni kuhakikisha mkoa huo unabaki kuwa shwari.
Kauli hiyo imetolewa leo Juni 23, 2021, na Kamanda wa kanda hiyo Muliro Jumanne, wakati akizungumza kwenye kipindi cha Capital Radio, na kwamba siri ya mtoa taarifa itatunzwa na pesa hizo atapatiwa kwa siri bila kuzungushwa.
"Tumeamua kutangaza donge nono la zawadi ambazo tutawapatia kwa siri watakaotuletea taarifa za kweli zilizosahihi za kuwak**ata katika mazingira yoyote watu wanaojihusisha na vitendo vya unyang'anyi wa kutumia silaha, na wakik**atwa pamoja na silaha zao, tutatoa milioni 2 palepale mchezo ukikamilika anapewa pesa yake hakuna mzunguko na hili ni zoezi endelevu," amesema Kamanda Muliro.
Aidha, Kamanda Muliro amewataka wahalifu Jijini Dar es Salaam kuchagua mambo mawili kuendelea kuingia kwenye msuguano na jeshi la polisi ama kuwa raia wema.
like page, share

  Nasoma comments mpaka usiku saa 4.Masharti: Like page kisha share.
09/06/2021

Nasoma comments mpaka usiku saa 4.

Masharti: Like page kisha share.

  Chelsea bingwa 2020/2021. Share,like page
29/05/2021

Chelsea bingwa 2020/2021.

Share,like page

  Mchezo umemalizika pale Majaliwa stadium,Simba SC Tanzania wakiibuka na ushindi wa mabao matatu kwa moja.Share,like pa...
29/05/2021

Mchezo umemalizika pale Majaliwa stadium,Simba SC Tanzania wakiibuka na ushindi wa mabao matatu kwa moja.

Share,like page

JK,POLEPOLE NDANI YA UDSMMkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Ndugu Humphrey Polepole ...
27/05/2021

JK,POLEPOLE NDANI YA UDSM

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Ndugu Humphrey Polepole aliyehitimu Shahada ya Uzamili (Masters of Arts in Development studies) leo tarehe 27 Mei 2021.

Share,like page πŸ˜€

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kal Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category