
11/07/2025
Siku Yangu huanza vizuri sana ... ila ninapo kumbuka tu kwamba huyu boya bado hajauzwa na amesharudi Carrington kwa maandalizi ya msimu mpya ... Nahisi presha na kushindwa kupumua asee.
Kwanin haondokii!!, Yaani aondoke Garnacho, na Rashford halaf huyu jamaa anabaki ... Aseee Huyu Amorim naye tutamchoka siku si nyingi.