Soka la Bongo

Soka la Bongo Taarifa zote za Habari za Michezo Bongo , jiunge NAMI hapa.

02/09/2026

Mwandishi nguli wa habari za michezo na usajili duniani Fabrizo Romano amepokea jezi mpya za kimataifa za klabu ya Yanga sc na kutumika k**a sehemu ya utambulisho wa jezi hizo.

Kiungo wa Yanga Sc Duke Abuya,ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Kenya kuelekea mechi mbili za kufuzu AFCON 2027...
02/09/2026

Kiungo wa Yanga Sc Duke Abuya,ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Kenya kuelekea mechi mbili za kufuzu AFCON 2027 kwa mwezi huu September, 2026.

Duke Abuya ndio mchezaji pekee kutoka NBC Premier League kuitwa timu ya taifa kuelekea mechi hizo ambapo Kenya " Harambee Stars" itacheza dhidi ya Eritrea na Guinea.

Yanga SCZitautumia uwanja wa Azam Complex k**a uwanja wao wa nyumbani kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Gaborone Unite...
02/09/2026

Yanga SCZitautumia uwanja wa Azam Complex k**a uwanja wao wa nyumbani kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Gaborone United, Azam Complex

12 Septemba 2026
19:00

Yanga wanaianza kampeni ya kuelekea hatua inayofuata ya CAF Champions League.

'Mechi ya Azam FC dhidi ya Simba imesogezwa mbele hadi Sept16, 2026 badala ya Sept 09, 2026,Simba iliandikia barua Bodi ...
02/09/2026

'Mechi ya Azam FC dhidi ya Simba imesogezwa mbele hadi Sept16, 2026 badala ya Sept 09, 2026,Simba iliandikia barua Bodi yaLigi TPLB kuomba mechi isogezwe mbele kutoa nafasi kujiandaa na mechi ya marudiano ya CAFCL dhidi ya Mighty Wanderers.

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limewateua waamuzi wanne kutoka nchini Tanzania Nasir Salum, Mohamed Mkono, Ally ...
01/09/2026

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limewateua waamuzi wanne kutoka nchini Tanzania Nasir Salum, Mohamed Mkono, Ally Ramadhani pamoja na Ahmed Arajiga kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League).

Mchezo huo utazikutanisha klabu ya JS Saoura ya nchini Algeria dhidi ya Horoya AC ya Guinea, na unatarajiwa kupigwa katika Uwanja wa Miloud Hadefi tarehe Septemba 4, 2026.

Taarifa zinaeleza kuwa nyota wa kimataifa Alphonce Mabula amesaini mkataba wa miaka (2) kuwatumikia JS Kabylie ya nchini...
01/09/2026

Taarifa zinaeleza kuwa nyota wa kimataifa Alphonce Mabula amesaini mkataba wa miaka (2) kuwatumikia JS Kabylie ya nchini Algeria wenye thamani ya Tsh Bilioni 2.3/=.

JS wamekubali kumlipa Mabula $870,000 ambayo ni sawa na Tsh Bilioni 2.3/= k**a Sign-on fee ya miaka hiyo (2) huku wakiwashinda USM Alger walioweka ofa ya $750,000.

Pia Mabula atavuta mshahara wa $31,000 sawa na Tsh Milioni 81/= kila mwezi na tayari wamelipa mshahara wote wa mwaka mzima $372000 ambayo ni sawa na Tsh Milioni 983/=.

01/09/2026

IBRAHIM DOUMBIA AKIFUNGA GOLI ITAKUWA NI NATIONAL HOLIDAY

01/09/2026

HALI YA MCHEZAJI YUSUPH KAGOMA INAONEKANA BADO HAIKO SAWA

01/09/2026

UMOJA MTAKATIFU UMEANZA KUTENGENEZWA AZIZ KI NA SHALULILE

Credit

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soka la Bongo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share