AfyaGame

AfyaGame Welcome to AfyaGame

Kaa tayari!
10/02/2025

Kaa tayari!

Kaa tayari!
08/02/2025

Kaa tayari!

Daktari Bingwa wa Saratani, Dr  mapema leo hii kwenye Matembezi ya Furaha | AfyaGame Happy Walk 😊
05/10/2024

Daktari Bingwa wa Saratani, Dr mapema leo hii kwenye Matembezi ya Furaha | AfyaGame Happy Walk 😊

Matembezi ya Furaha  | AfyaGame Happy Walk 😊, karibu kila Jumamosi ujumuike na wenzako.
05/10/2024

Matembezi ya Furaha | AfyaGame Happy Walk 😊, karibu kila Jumamosi ujumuike na wenzako.

Kwa kuangalia tu hii picha, unahisi kati ya  ,  na  nani alipiga Push Up nyingi zaidi? 😀Hii ni AfyaGame Happy Walk, kila...
05/10/2024

Kwa kuangalia tu hii picha, unahisi kati ya , na nani alipiga Push Up nyingi zaidi? 😀

Hii ni AfyaGame Happy Walk, kila Jumamosi karibu uungane na wenzako kuweka mwili sawa na mazoezi mepesi.

Matembezi ya Furaha 😊 | AfyaGame Happy Walk Karibu kila Jumamosi ujumuike na wenzako.
05/10/2024

Matembezi ya Furaha 😊 | AfyaGame Happy Walk
Karibu kila Jumamosi ujumuike na wenzako.

Next Week karibuni tena HappyWalk 😊
05/10/2024

Next Week karibuni tena HappyWalk 😊



Wadau wa AfyaGame "Happy Walk" mapema leo hii wakikata kiu na Maji ya GSM 💦. Happy Walk ni kila Jumamosi kuanzia saa 12 ...
05/10/2024

Wadau wa AfyaGame "Happy Walk" mapema leo hii wakikata kiu na Maji ya GSM 💦. Happy Walk ni kila Jumamosi kuanzia saa 12 asubuhi, Matembezi haya yanaratibiwa na Babuu Cancer Foundation, WAMATA pamoja na Hospitali ya Ocean Road.



Mkuu wa Idara ya Michezo Clouds Media Group  mapema leo hii kwenye matembezi ya furaha   yanayoratibiwa na Taasisi ya Ba...
05/10/2024

Mkuu wa Idara ya Michezo Clouds Media Group mapema leo hii kwenye matembezi ya furaha yanayoratibiwa na Taasisi ya Babuu Cancer Foundation, WAMATA pamoja na Hospitali ya Ocean Road.


Raisi wa Yanga Mhandisi Hersi Ally Said  pamoja na Mwenyekiti na Mwanzilishi wa Babuu Cancer Foundation  mapema leo hii ...
05/10/2024

Raisi wa Yanga Mhandisi Hersi Ally Said pamoja na Mwenyekiti na Mwanzilishi wa Babuu Cancer Foundation mapema leo hii kwenye matembezi ya furaha yanayoratibiwa na Taasisi ya Babuu Cancer Foundation, WAMATA pamoja na Hospitali ya Ocean Road.


Jishindie Bima ya Afya na Pesa Taslim kwa Jero tu. Bima hii itakuwezesha kutibiwa bure Tanzania na Nchi zote za Afrika M...
22/09/2024

Jishindie Bima ya Afya na Pesa Taslim kwa Jero tu. Bima hii itakuwezesha kutibiwa bure Tanzania na Nchi zote za Afrika Mashariki.

Kucheza AfyaGame ni rahisi tu. Kwa watumiaji wa M-Pesa na Tigo Pesa tuma Tsh 500 kupitia Namba ya Kampuni 310900. Kwa watumiaji wa Airtel Money, tuma Tsh 500 kupitia Namba ya Kampuni 410900. Kumbuka kuweka Namba ya Kumbukumbu 123.

Vigezo na Masharti Kuzingatiwa. Piga 0800750341 kwaMaelezo Zaidi.

Picha ya pamoja kati ya Staff wa AfyaGame, Viongozi kutoka Kampuni za Bima ya Afya, "Survivors" wa Saratani pamoja na Wa...
12/09/2024

Picha ya pamoja kati ya Staff wa AfyaGame, Viongozi kutoka Kampuni za Bima ya Afya, "Survivors" wa Saratani pamoja na Washindi wa zawadi kutoka AfyaGame (Nyumba na Bima za Afya) hapo jana Hospitali ya Ocean Road baada ya uzinduzi wa zawadi za Bima za Afya zitakazotolewa na Tigo, Vodacom pamoja na Airtel.

Bado hujachelewa una nafasi pia ya kushinda Bima ya Afya kwa ajili ya Familia yako au Bima binafsi itakayokuwezesha kutibiwa nchi zote za Afrika Mashariki.

Kucheza AfyaGame ni rahisi tu. Kwa watumiaji wa M-Pesa na Tigo Pesa tuma Tsh 500 kupitia Namba ya Kampuni 310900. Kwa watumiaji wa Airtel Money, tuma Tsh 500 kupitia Namba ya Kampuni 410900. Kumbuka kuweka Namba ya Kumbukumbu 123.

Vigezo na Masharti Kuzingatiwa. Piga 0800750341 kwa Maelezo Zaidi.

Address

Dar Es Salaam
14112

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfyaGame posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share