Halisi TZ

Halisi TZ Life โ€ข vibes โ€ข moments
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ political issues and offers Opportunities for entrepreneurs to get more involved.
(3)

Mdm Media is a platform that provides a wide range of information, especially in Kiswahili and English, and highlights the lifestyle and aspirations of the people of Tanzania, Kenya, Burundi,Uganda,Congo DRC between the ages of 18 and 45.

06/09/2026

Rashidi na Mwajuma jana ndio ilikuwa Wedding yao tazama ilivyonoga

05/09/2026

๐Ÿ’RASHIDI NA MWAJUMA WAMEFUNGWA NDOA

Safari yao imefika hatua nyingine rasmi baada ya Rashidi na Mwajuma kufunga ndoa na sasa kuwa mke na mume. ๐Ÿฅฐ๐ŸŽ‰

Pongezi nyingi kwa DC Magoti kwa kusimamia kwa umakini na kuhakikisha jambo hili linafanikiwa hadi kufikia hatua hii muhimu. ๐Ÿ‘โค๏ธ
๐Ÿ“น Tazama tukio zima lilivyokuwa, kuanzia mwanzo hadi mwisho

TULIUMBWA KWA UDONGO, NA TUTARUDI KWENYE UDONGO. ๐Ÿคฒ๐Ÿฝโ€œHakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye tutarejea.โ€ ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ’” Rest...
28/08/2026

TULIUMBWA KWA UDONGO, NA TUTARUDI KWENYE UDONGO. ๐Ÿคฒ๐Ÿฝ

โ€œHakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye tutarejea.โ€ ๐Ÿ•Š๏ธ
๐Ÿ’” Rest in Peace, Edina Chaula.
Mungu akusamehe makosa yako, akupokee kwa mikono yake ya rehema na akujaalie ulale mahali pema Peponi. ๐Ÿคฒ๐Ÿฝ๐Ÿ•Š๏ธ
Familia, ndugu, jamaa na marafiki wapate nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu.
Amin ๐Ÿคฒ๐Ÿฝ / AMEN ๐Ÿ•Š๏ธ

AKUTWA AMEFARIKI CHUMBANI BAADA YA MWILI WAKE KUKAA NDANI SIKU 5 Mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, ...
25/08/2026

AKUTWA AMEFARIKI CHUMBANI BAADA YA MWILI WAKE KUKAA NDANI SIKU 5

Mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, Edina Chaula (23), amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake baada ya kudaiwa kukosa hewa kutokana na kupaliwa na chakula.

Tukio hilo limebainika Agosti 23, 2026 majira ya mchana baada ya mwili wake kukutwa ndani ya chumba hicho, ambapo Polisi Mkoa wa Njombe wamesema uchunguzi wa awali unaonesha huenda alikuwa amefariki kwa siku nne hadi tano kabla ya kugundulika.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi Mahamoud Banga, amesema hakuna viashiria vya mauaji kwa kuwa mlango wa chumba ulikuwa umefungwa na ulilazimika kuvunjwa chini ya usimamizi wa viongozi wa Serikali ya Mtaa.

Aidha, amesema ndani ya chumba hicho kulikutwa pombe kali maarufu k**a โ€œVisunguraโ€.
Polisi wanaendelea na uchunguzi zaidi ili kubaini kwa kina mazingira ya kifo hicho.
๐Ÿ•Š๏ธ Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.

19/08/2026

Neno moja kwa Hiki Kionjo cha wimbo mpya wa Mheshimiwa Mbunge Babalevo ๐Ÿ˜ƒ

17/08/2026

Mbunge wa Kigoma Mjini Babalevo na Msanii Diamond Platnumz wamevujisha kionjo cha Wimbo wao mpya.

17/08/2026

Tanzania ndio nchi pekee unaweza ukaandika vocodam watu wakasoma vodacom๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

16/08/2026

Toangoma Kids wamesema walimpelekea Zawadi Mtoto wa Zuchu na Diamond Platnumz lakini hawakufanikiwa waliishia Getini.

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Halisi TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Halisi TZ:

Shortcuts

Share