Readit Books Ltd

Readit Books Ltd Publishers of good quality for affordable value children's books and other books Publisher of education and children's books

02/02/2026
29 January NEW BOOK Available in bookshops
02/02/2026

29 January NEW BOOK Available in bookshops

Wewe je! Uaonesha vitabu? Utakuja kununua? Hakuna Kiingilio!Will you exhibit? Will you come to buy books? Free entrance!
29/10/2025

Wewe je! Uaonesha vitabu? Utakuja kununua? Hakuna Kiingilio!
Will you exhibit? Will you come to buy books? Free entrance!

Njoo ununue vitabu kwa bei ya punguzoCome buy books at discounted prices
22/10/2025

Njoo ununue vitabu kwa bei ya punguzo
Come buy books at discounted prices

19/10/2025
Kila mwanadamu ana hatima ya pekee kwenye maisha yake ingawa maisha ni fumbo. Fumbo la kudra za Mwenyezi Mungu juu ya mj...
10/09/2025

Kila mwanadamu ana hatima ya pekee kwenye maisha yake ingawa maisha ni fumbo. Fumbo la kudra za Mwenyezi Mungu juu ya mja katika kipindi cha uhai wake, na vichwani mwetu huwa tuna picha fulani ya hatima tunayoitarajia katika maisha yetu. Lakini kadiri maisha yanavyozidi kuendelea vitu viwili hutokea. Aidha ile hatima tarajiwa hufutika au la hujichora ikijidhihirisha Zaidi na kisha hutimia.

Hatima Iliyofutika ni mwamko mpya wa simulizi za Kiafrika zinazompa nafasi mwanamke, si tu k**a mhanga wa hadithi, bali k**a shujaa wake mkuu.

Hatima Iliyofutika ni simulizi ya mwanamke anayejenga upya maisha kutoka kwenye magofu ya majeraha.

ABDULKADIR THABIT MASSA

Katika ajali, mvua na machozi ya penzi, simulizi hii inajifungua kwa hisia nzito, maamuzi magumu, na ndoto zinazoyumba k...
10/09/2025

Katika ajali, mvua na machozi ya penzi, simulizi hii inajifungua kwa hisia nzito, maamuzi magumu, na ndoto zinazoyumba kwenye uhalisia wa maisha ya ndani na nje ya chuo kikuu.

Wapo wanaoamini mapenzi ni kujitoa. Wapo wanaotafuta kimbilio la maisha mazuri kwa njia ya mkato. Wapo pia wanaopambana kujikwamua kutoka kwenye hali za kunyanyasika -lakini mwishoni, kila mmoja ana uamuzi wa kufanya, na si kila uamuzi huwa na mwisho wa furaha.

KATIKA KIVULI CHA ULIMBUKENI ni hadithi inayochora maisha halisi ya vijana, ikiamsha maswali juu ya thamani ya mapenzi, utu, na heshima binafsi katika kizazi cha kidijitali na mivutano ya kisasa.

Je, moyo ukishapasuka....

ABDULKADIR THABIT MASSA

To Zanzibar Farewell to a brother
11/06/2025

To Zanzibar Farewell to a brother

Mabafu ya Hamamni, Msikiti Baraza ya Ukutani, kurudi Dar kwa Azam Marine
22/12/2024

Mabafu ya Hamamni, Msikiti Baraza ya Ukutani, kurudi Dar kwa Azam Marine

Tule pamoja kitabu kipya cha Nahida Esmail kitatoka karibuni
07/04/2024

Tule pamoja kitabu kipya cha Nahida Esmail kitatoka karibuni

Bila Mahari Tafsiri mpya kutoka Kirusi tamithiliya ya Alexander Ostrovsky
04/12/2023

Bila Mahari Tafsiri mpya kutoka Kirusi tamithiliya ya Alexander Ostrovsky

Address

5th Floor NK Building Msimbazi/sikukuu Streets P. O. Box 20986
Dar Es Salaam
00100

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 12:30

Telephone

+255683286406

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Readit Books Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Readit Books Ltd:

Share