Tanzania Tech Media

Tanzania Tech Media Tanzania Tech media is a modern company and home to relevant editorial properties, advertising, and technology solutions.

Google na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekuja na mabadiliko ambayo yanaathiri waumbaji wa maudhui na wachapishaji w...
11/09/2025

Google na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekuja na mabadiliko ambayo yanaathiri waumbaji wa maudhui na wachapishaji wa matangazo ya Google AdSense https://url.tanzaniatech.one/NFHGo

OpenAI Kuja na Mtandao wa Kutafuta Ajira Kupitia Akili Mnemba
06/09/2025

OpenAI Kuja na Mtandao wa Kutafuta Ajira Kupitia Akili Mnemba

Fidji Simo amesema kupitia makala maalum kuwa mtandao huo utakuwa ukiitwa "OpenAI Jobs Platform".

  Huna Haja ya Power Bank – Galaxy A56 Inatosha Kila siku, kila safari, kila changamoto – Galaxy A56 ni mshikaji wako. B...
20/08/2025

Huna Haja ya Power Bank – Galaxy A56 Inatosha Kila siku, kila safari, kila changamoto – Galaxy A56 ni mshikaji wako. Betri yake ya kudumu v stress ya kutafuta plug au kubeba power bank kila mahali.
Ni simu ya maisha halisi ya Mtanzania

🛒 Pata sasa kwenye maduka rasmi ya na ufurahie udhamini wa miezi 24 + Samsung Care+.
“ Kwa sababu ina focus kwa watu wote haiongelei Zaidi changamoto za umeme... ambazo pengine kwa watu wengine inaweza kuwa sio tatizo

Kampuni ya Airtel imetangaza kuwasha mkongo wa mawasiliano unaopita baharini wa 2Africa, hatua hii italeta mabadiliko ch...
24/06/2024

Kampuni ya Airtel imetangaza kuwasha mkongo wa mawasiliano unaopita baharini wa 2Africa, hatua hii italeta mabadiliko chanya katika huduma ya intaneti Tanzania.

Uzinduzi huo uliongozwa na Rais Dr Samia Suluhu Hassan, Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Africa Segun Ogunsanya, pamoja na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari mheshimiwa Nape Nnauye.

Mkongo huu wa mawasiliano unaongeza ufanisi katika upatikanaji wa intaneti yenye kasi na hivyo kufungua fursa zaidi katika elimu, biashara na sekta ya mawasiliano kwa watanzania.

Address

Sinza, Palestina Hospital Road
Dar Es Salaam
31509

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Tech Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Tech Media:

Share