Ushauri wa chàngamoto za ndoa na mahusiano

Ushauri wa chàngamoto za ndoa na mahusiano Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ushauri wa chàngamoto za ndoa na mahusiano, Social Media Agency, box 1993, Dar es Salaam.

10/09/2024

Siku hizi naona wanawake walio serious kuolewa wañalalamika kuwa wanaume wanapenda ngono zaidi na sio malengo

Iko hivi
Mwanaume yeyote anapopata mwanamke kwa mara ya kwanza wazo namba moja huwa ngono ( s*x)
Mwañaume anaamini mwañamke aliye s*x nae ndiye mtu wake na ambae hajashiriki nae tendo sio mtu wake hata k**a mnawasiliana kila siku , mnatamkiana maneno ya mahaba , mnasapotiana nk
Kwahyo ni vema baada ya kukubaliana mkashauriana ni baada gani mtas*x ila sio kumwona k**a hana malengo na ww , mtawakataa watu wenye malengo kisa mitazamo mibaya mlio nayo ,,,
Kukaa muda mrefu bila kukuomba s*x haihalalishi wema wa mwanaume , maana mwanaume anaweza akakupa nafac ww useme chochote , akatumia muda mwingi kwako na gharama nyingi ila anakichora tu , siku akpata mzigo hapo ndio utaona rangi yake halisi.
Kwahyo mwanaume sahihi ni yule ambae yuko tayari kushauriana na kutekeleza na pia hajifichi kwenye hisia zake kwa mwanamke wake

NB
Kumtambua mwanaume sahihi sio rahisi sana lakn ukiwa mtulivu utamjua ndani ya muda mfupi tu , mpe muda , msikilize , mshauri ,,matokeo ya hiv vitatu ni ishara tosha kuwa huyo ni mtu sahihi au mbabaishaji

Address

Box 1993
Dar Es Salaam
123456

Telephone

+255658089785

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ushauri wa chàngamoto za ndoa na mahusiano posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share