
18/09/2025
Vyakula vya kuepuka kwa mgonjwa wa homa ya ini:
•Pombe na vilevi vyote.
• Vyakula vya kukaanga na mafuta mengi.
• Vyakula vyenye sukari nyingi (keki, soda, p**i).
• Vyakula vya makopo na vyenye viungo vikali.
• Nyama nyekundu nyingi (inaumiza ini).
• Chumvi nyingi (inaongeza uvimbe wa ini na mwili).
V VITU VYA KUZINGATIA:
Kula mara nyingi kwa milo midogo midogo badala ya milo mikubwa.
Pumzika vya kutosha ili ini lipate nafasi ya kupona.
Endelea kufuata ushauri wa dawa na vipimo.