
17/12/2024
*️⃣PID NI NINI, DALILI, MADHARA NA TIBA YA UGONJWA HUO*
*️⃣PID(Pelvic Inflammatory Disease)
Ni maambukizi katika via vya uzazi)
Maambukizi haya yanaweza kuletwa na vyanzo mbali mbali k**a vile
🔸Magonjwa : kisonono ,Kaswendwe' Uti au fangasi rudizi
🔸Utoaji Mimba
🔸Matumizi ya madawa kiholela
🔸Vizuizi mimba
🔸Kua na wapenzi wengi
🔸Mtindo wa maisha(Ulaji mbovu na kutokuzingatia usafi) na nk
*️⃣DALILI ZA PID*
Huu ni ugonjwa hatari sana kwa wanawake na madhara yake ni makubwa
➖Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
➖Kuwashwa sehemu za siri
➖Uke kutoa harufu mbaya
➖Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
➖Uke kuwa wa ulaini sana
➖Maumivu wakati wa tendo la ndoa
➖Kuvurugika Kwa hedhi
➖Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
➖Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
➖Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula
*️⃣MADHARA YA PID
🔸Ugumba
🔸Kansa ya shingo ya kizazi
🔸Mirija ya uzazi kuziba
🔸Majeraha kwenye mirija ya uzaz
Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi na elimu bure