Makarius wilfred muba

Makarius wilfred muba Official account Facebook me makarius Wilfred muba apdate all the time breaking news please follow me
(2)

17/01/2026

chuma kwa chuma iyo
follow Wilfred muba

17/01/2026

Raisi wa Marekani Donald Trump amesema kuwa hana uhakika k**a mipango na Marengo ya Marekani kwa Iran ingefanikiwa endapo General wa zamani wa Iran Qassem Soleimani angeendelea kuwepo hai

General Qassem Soleimani ambae alikuwa ni mtu wa pili kwa nguvu nchini Iran aliuawa na Marekani tarehe 3 mwezi wa kwanza mwaka 2020 kwenye shambulio la Marekani mjini Baghdad Iraq

Qassem Soleimani alikuwa kiongozi wa kikosi maalumu kilichopo kwenye jeshi la Iran ambacho kinahusika na operation za siri na za kijasusi hasa nje ya mipaka ya Iran

AFCON 2025Baada ya kupoteza kwenye mechi za nusu fainali, Egypt na Nigeria wanakutana katika mechi ya mshindi wa tatu ni...
17/01/2026

AFCON 2025

Baada ya kupoteza kwenye mechi za nusu fainali, Egypt na Nigeria wanakutana katika mechi ya mshindi wa tatu ni Jumamosi hii katika dimba la Mohammed V.

Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Je, ni Egypt ama Nigeria na kuchukua nafasi hii

Raisi wa crown Media, Ali Salehe Kiba 'Alikiba' amemsimamisha kazi katikati ya kipindi mtangazaji Salim Kikeke Kuwa Mtan...
15/01/2026

Raisi wa crown Media, Ali Salehe Kiba 'Alikiba' amemsimamisha kazi katikati ya kipindi mtangazaji Salim Kikeke Kuwa Mtangazaji kiongozi wa kipindi Cha Kasri Kuanzia Leo Januari 14.

Awali Salim Kikeke alikuwa mtangazaji kiongozi wa kipindi hicho akishirikiana na Imani Luvanga.

Kumbuka ni Jana tu kafanya mahojiano na Clemence Mwandambo

🇸🇳 Sadio Mané in Senegal 1-0 win 🆚 Egypt:⏱️ 90 minutes played⚽️ 1 goal🎯 85% pass accuracy💡 4 chances created👟 80 touches...
15/01/2026

🇸🇳 Sadio Mané in Senegal 1-0 win 🆚 Egypt:

⏱️ 90 minutes played
⚽️ 1 goal
🎯 85% pass accuracy
💡 4 chances created
👟 80 touches
🛡️ 2 tackles
🧹 1 clearance
🔁 9 recoveries
⚔️ 8/22 duels won
⭐️ 8.5 match rating

Leader. 🔥

Kabla ya mchezo dhidi ya Yanga Al Ahly wameandika barua nzito kwenda chama cha soka cha Misri na mamlaka za nchi kuhusia...
15/01/2026

Kabla ya mchezo dhidi ya Yanga Al Ahly wameandika barua nzito kwenda chama cha soka cha Misri na mamlaka za nchi kuhusiana na mchezo wao wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Yanga january 23.

Wameomba Fa ya Msiri na mamlaka ya nchi ya Misiri wahakikishe mechi hiyo mashabiki wanaruhusiwa kuujza uwanja wote.

Pia wakihitaji mchango wowote wa namna umma huo utashiriki salama zoezi la kumpokonya Yanga alama 3 Cairo.

Ili kusiwe na shaka lolote la kuhofia kuruhusu mashabiki wengi

Maneno ya zimbwe Ni kitambo sana, huku mimi nilifwata makombe na furaha🏆🥇🏅
14/01/2026

Maneno ya zimbwe Ni kitambo sana, huku mimi nilifwata makombe na furaha🏆🥇🏅

Wekundu wa Msimbazi Simba kazi wanayo!Esparance de Tunis wanasajili kwelikweli na wanajiboresha haswa.Wameenda Seria A y...
14/01/2026

Wekundu wa Msimbazi Simba kazi wanayo!

Esparance de Tunis wanasajili kwelikweli na wanajiboresha haswa.

Wameenda Seria A ya Italia wamemchukua kiungo mshambuliaji Hamza Rafia kutoka Lecce ya Italia.

Ameshacheza Juventus kuanzia ya vijana na kubwa.

Ameshashinda Copa Italia akiwa na Juventus. Alipita katika klabu ya Lyon ya Ufaransa na Pescara

Pia wamempa mkataba wa miaka minne na nusu Arar Ferenandez mwenye miaka 19 kutoka Strasbourg B

Simba mjipange kuvuna alama nyumbani na ugenini ligi ya mabingwa!

14/01/2026

Baada ya Iran kufunga mtandao kinachoendelea kwasasa nje ya Iran asilimia kubwa ni vita vya kipropaganda vyenye rengo maalumu

Vita vya propaganda vinavyoendelea vipo vya pande mbili

* 1 Upande wa serikali ya Iran ( timu Iran)

* 2 Upande unaotaka serikali ya Iran iondoke madarakani ( Timu Israel, Marekani na washirika wake)

* 1 Kwa upande wa serikali ya Iran na timu yake hasa walionje ya Iran wao muda wote taarifa wanazotoa ni

-Maandamano ya wananchi wanaoiunga mkono serikali
-Miji ipo kwenye amani hasa mji mkuu Tehran
- Maandamano yamepungua
- Iran imek**ata majasusi wanaondamana
- Iran na majaribio ya makombora yake

* 2 Upande unaotaka serikali ya Iran ianguke wao muda wote taarifa wanazotoa ni
- Iran imeua waandamanaji wengi
- Maandamano makubwa yanaendelea
- Serikali ya Iran imepoteza uthibiti na inaishiwa nguvu

Hizo ndizo pande mbili zinazotoa taarifa kuhusu yanayoendelea nchini Iran muda huu ambao Iran imefunga mtandao, Kila upande unafanya hivyo kwaajili ya kuaminisha dunia nini kinachoendelea Iran kwasasa, upande wa timu ya serikali ya Iran wao wanajitahidi sana kuonyesha kuwa Hali ya Iran kwasasa ni nzuri, maandamano ni ya amani yale ya vurugu yameisha, wanaondamana wengi ni majasusi sio raia wa Iran, muda wowote kuanzia sasa Hali itarudi k**a awali maana wananchi wengi wapo upande wa serikali, upande huu hautousikia ukitoa taarifa sahihi za vifo vya waandamanaji, fujo, kuk**atwa kwa kambi za kijeshi, Hawa kabla ya kuzimwa kwa mtandao walikuwa wanatoa taarifa za maandamano na fujo Hadi taarifa za vifo vya askari wao na madhara ya maandamano k**a vile uchomwaji wa moto misikiti, magari , Kambi na sehemu mbalimbali ila kwasasa taarifa zao kubwa hasa ni juu ya satellite za starlink

Upande unaotaka serikali ya Iran iondoke madarakani Timu (Israel Marekani) Hawa tangu kuzimwa kwa mtandao taarifa yao kubwa kabisa ni idadi ya vifo vya waandamanaji hii ndio taarifa yao pendwa muda wote wapo kufatilia vifo na kutoa taarifa ili dunia ufahamu kuwa serikali ya Iran inaua waandamanaji, mpaka sasa upande huu umetangaza kuwa vifo vipo 2000 na tutegemee kuona wakizidisha idadi Kila muda unavyodhidi kwenda , pia Hawa muda wote taarifa zao ni kuwa maandamano bado makubwa nchi nzima, hawa lengo lao kubwa ni Ile kauli ya raisi wa Marekani Donald Trump, Ile kauli ambayo admin hamesha aliisema hapa kipindi kile maandamano yanaanza na watu wengi hapa wakawa hawaamini k**a kuna maandamano kwa kuwa tu vyombo vingine vilikuwa bado havijaanza kuposti, k**a utakuwa unakumbuka nilisema kipindi cha mwanzo kabisa kuwa serikali ya Iran inaandaliwa mtego ifanywe k**a Libya ya Gaddafi, kuwa inaachwa iue waandamanaji kisha mataifa ya nje ya ingie nchini humo kijeshi kwa madai ya kuwalinda waandamanaji wasiuawe hicho ndicho nilichosema Ile siku ya pili baada ya maandamano kuanza , kauli iliyotimia baada ya Trump nae kuja kutangaza baadae sana kuwa Marekani itaingia Iran kijeshi ikiwa Iran itawaua waandamanaji. Hivyo timu hii ya pili inachochea usemi wa Trump wa kuingia nchini Iran kuwalinda waandamanaji ambao wao wanatangaza kuwa wanauawa sana na serikali ya Iran

Hizo ndizo timu mbili zinazotoa taarifa kuhusu yanayoendelea nchini Iran muda huu ambao kupata taarifa sahihi za Iran ambazo hazina upande ni ngumu kidogo kutokana na kuzimwa kwa mtandao, na ifahamike kuwa pande zote hizo wanaoitetea serikali na wale wanaotaka serikali ianguke wote hao wapo vizuri hata kwenye masuala ya edit, wanaedit picha, video na kusema ni za Iran
Mfano siku ya jana upande wa Iran ulitoa video na picha zikimuonyesha raisi Masoud Pezeshkian akiwa mtaani mjini Tehran, kitu ambacho sio kweli Ile ilikuwa ni picha na video za kutengenezwa, Kwa hali inayoendelea sasa hasa Tehran ni ngumu kwa raisi kutembezwa barabarani kiasi kile huku kukiwa shwari wakati nchi ipo kwenye machafuko na yeye ni miongoni mwa wanaolengwa,

Kwasasa taarifa sahihi zinatoka kwa waliondani ya Iran na zile ripoti za mashirika ya kijasusi, hao ndio wenye taarifa sahihi hasa mashirika ya kijasusi zile taarifa wanazotuma Kila siku hizo ndizo sahihi na ndizo ambazo kwasasa hamesha nitakuwa nacheza nazo

Ila Kwa wale wenye upande ukae ukijua taarifa nyingi unazoziona kwasasa kuhusu Iran zote ni za mashindano ya propaganda

14/01/2026

APA WAME PIGWA

14/01/2026

Toka dunia ianze ziliibuka himaya nyingi sana kubwa hapa duniani k**a Mongol Empire, Egypt Empire, Persian Empire, Babylon au Babel Empire, British Empire, Ottoman Empire na Hispania Empire .Ila kati ya zote hizo himaya iliyodumu hadi leo ni himaya moja tuu ya Roma au Roman Empire ambayo inawafuasi zaidi ya Billion 1.4 kwenye dunia ya leo ,Na wamefanikiwa kwenye hilo kwa sababu baada ya kuibuka Kaisari au Cesar Constantine karne ya 4 waliamua kutumia kivuli cha dini kuitawala dunia upya.Yani kutoka kwenye Pagan Rome hadi Holy Roman Empire na ndo hiyo tunayo hadi leo

Ni Nani atawin hii AFCON.. Unasupport team gani
14/01/2026

Ni Nani atawin hii AFCON.. Unasupport team gani

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makarius wilfred muba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Makarius wilfred muba:

Share