Sikiasauti

Sikiasauti Habari kuhusu maisha ya kila siku,teknolojia,vichekesho na mengine mengi

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Jumanne James, Mwanyangala Petter
28/12/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Jumanne James, Mwanyangala Petter

Mke na mume walitembelea shamba, waliona fahali akifanya mapenzi na ng'ombe. Mke alimuuliza meneja shamba:"Fahali hufany...
03/11/2024

Mke na mume walitembelea shamba, waliona fahali akifanya mapenzi na ng'ombe. Mke alimuuliza meneja shamba:

"Fahali hufanya hivi mara ngapi kwa siku?"

Meneja alijibu: "Mara 6 au zaidi kwa siku".

Mke: akamtazama mumewe na kusema....."unaona!!!"

Kisha mume akamwuliza meneja: "Unamaanisha mara 6 kwa siku na ng'ombe sawa?"

Meneja alisema "Hapana, Hapana, na ng'ombe tofauti kila siku."

Mume anamtazama mkewe na kumwambia ..."unaona!!!"

Na wakaanza kupigana!!!

Nani alisababisha vita??? 😂😂😂

Naimani licha ya kukuchekesha lipo ulilojifunza
Toa comments nani aloyesababisha vita hii.

01/10/2024

Hii ndio hali ya hewa huko mafinga/Iringa nyanda za juu kusini.Vipi unahisi nini sababu ya hali hii
Hebu toa comments

30/09/2024
01/10/2023
Sometimes somewhere with friends..laughing increases lifespans..let them enjoy
28/09/2023

Sometimes somewhere with friends..laughing increases lifespans..let them enjoy

Let's talk about Internet service in Tanzania
28/09/2023

Let's talk about Internet service in Tanzania

Address

Ilala
Dar Es Salaam
12101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sikiasauti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category