MOtownTV

MOtownTV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MOtownTV, TV Channel, Dar es Salaam.

MOtownTV(motownmadia) ni online television inayotoa Habari mbali mbali Siasa,Burudani, Michezo na Breaking News You Tube Tunapatikana kwa jina la MOtownTV Online na Instagram pamoja na twitter Tunapatikana kajina Hilo Hilo la MOtown TV

22/03/2026

Not just a place but a feeling 🌍✨
Salsa Fridays at The Slipway brings the perfect escape after a long week.

18/03/2026

I thought Zanzibar was all about beaches… Until I experienced Stone Town at night 🌃🔥 Music, lights, people… the energy is unreal.

If you’re planning to travel to Zanzibar, choosing Zan Fast Ferries makes the journey easy, safe, and comfortable. 🌊

16/03/2026

Video inayomuonyesha Haaland amesilimu ni video ya AI/deepfake sio tukio halisi.

13/03/2026



Hadithi ya Felista Florian Mshana, mama wa watoto watano ambaye siku moja alipoteza uwezo wa kutembea.

Lakini katika giza la changamoto hizi kuna mwanga wa matumaini ulioanza kuonekana. Baada ya Watanzania wengi kuguswa ameweza kupatiwa weelchair (kiti cha magurudumu) na siku ya jana jumatatu 9/03/2026 ameweza kwenda KCMC kwajili ya kuanza rasmi Matibabu, Tayari amefanyiwa vipimo vya awali, na siku ya Jumatano anatarajiwa kufanyiwa kipimo cha Magnetic Resonance Imaging (MRI) ili kusaidia kubaini chanzo cha tatizo lake.

Tunapenda kuwashukuru sana wote walioguswa na kujitolea kumchangia kile ambacho Mwenyezi Mungu amewabariki. Mchango wenu umeleta matumaini mapya katika maisha ya Felista na familia yake.

Hata hivyo, safari ya matibabu bado inaendelea. Hivyo tunaendelea kuwaomba Watanzania na watu wote wenye moyo wa huruma kuendelea kumuunga mkono dada yetu Felista, ili aweze kupata matibabu kamili na siku moja aweze kusimama tena.

Kwa yeyote atakayeguswa na video hii, anaweza kutuma mchango kupitia namba zifuatazo:
HALOPESA : [0621068598 Jina ni JAYLAN KILONZO]

Bank Name: CRDB
Account Number: 0152619190800
Jaylan Yassin Kilonzo

Asanteni sana kwa moyo wenu wa upendo na mshik**ano.
Mungu awabariki sana. 🙏

🎥

You can't make your happiness dependent on others; you'll never be able to fulfill your dreams that way
08/03/2026

You can't make your happiness dependent on others; you'll never be able to fulfill your dreams that way

04/03/2026


:
Felista Florian Mshana ni mama wa watoto watano ambae alipoteza uwezo wa kutembea ghafla bila kuugua wala kupata ajali yoyote.

Tangu akiwa na umri wa miaka 31, amekuwa hawezi kutembea , na sasa ana miaka 35. Imakua ni safari ya maumivu makali na mateso kwake.

Kimwili na kihisia kwani Felister yeye ndio Mama na Baba kwa watoto wake ndio wanaomtegemea kwa kila kitu na kila siku.

Chanzo halisi cha tatizo lake bado hakijajulikana rasmi kitabibu hadi Leo hii , na hivyo anahitaji kufanyiwa uchunguzi na matibabu ya kina hospitalini. Ili kufanikisha hilo, anahitaji msaada wa kifedha utakaomwezesha kupata huduma stahiki za afya na kisha arejee tena kwenye maisha yake ya awali ya upambanaji.

Mbali na matibabu, Felista pia anahitaji:
Wheelchair (kiti cha magurudumu) kwa ajili ya kumsaidia kusogea kipindi hichi akiwa anasubiri matibabu kamili na pia Vifaa maalum vya kumsaidia kwenda chooni kwa ajili ya haja kubwa na ndogo, kwani kwa sasa analazimika kukaa chini kutokana na kukosa vifaa hivyo muhimu.

Tunawaomba Watanzania na watu wote wenye moyo wa huruma kujitokeza kumsaidia Felister kwa hali na mali. Mchango wako ni wa muhimu sana, hata k**a ni mdogo, unaweza kuleta mabadiliko makubwa katika maisha yake na familia yake.

Kwa yeyote atakayeguswa na video hii, anaweza kutuma mchango kupitia namba zifuatazo:
HALOPESA : [0621068598 Jina ni JAYLAN KILONZO]

Bank Name: CRDB
Account Number: 0152619190800
Jaylan Yassin Kilonzo

Asanteni sana kwa moyo wenu wa upendo na mshik**ano. Mungu awabariki kwa kila mtakaomsaidia Felister

27/02/2026

Breaking News: Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya Gigy Money (jina halisi Gift Stanford Joshua) ametangaza rasmi kwamba Amebadili dini na sasa ni Muislamu.

25/02/2026

Mvua hainyeshi milele — hata anga lenye giza huwa linatoa nafasi kwa mwanga.

22/02/2026

Huyu Jamaa ni kiboko haya wale wezi mjifunze mtakuja mkutane na begi muibe kumbe nyoka 😄

Chukua muda wa kushukuru ulichonacho. Unaweza kuwa na zaidi, lakini pia ungeweza kuwa na kidogo kuliko leo. Jumu’ah Muba...
16/01/2026

Chukua muda wa kushukuru ulichonacho. Unaweza kuwa na zaidi, lakini pia ungeweza kuwa na kidogo kuliko leo. Jumu’ah Mubarak.

Take a moment to be grateful for what you have. You can always have more, but you could also have less. Jumu’ah Mubarak. 🤲🏽

📝

Unaweza kuwa na kila kitu na bado ukawa sawa na aliekosa kilakitu. Inamaanisha kwamba mali, umaarufu au nafasi havihakik...
05/11/2025

Unaweza kuwa na kila kitu na bado ukawa sawa na aliekosa kilakitu.

Inamaanisha kwamba mali, umaarufu au nafasi havihakikishi furaha au utimilifu wa kweli wa maisha maana halisi ya maisha ipo ndani ya mtu, si kwenye vitu alivyonavyo.

06/08/2025

Huyu ni JOB NDUGAI / KIFO chake KIMETWAA MWILI/ MATENDO YAMEBAKI

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MOtownTV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MOtownTV:

Share

Category