Harith Shurikin

Harith Shurikin Iam independent film maker,director,writer,editor, actors trainer and Producer

Habari zenu wapendwa naomba muendelee ku subscribe channel yetu Kwa link hii mpate kuona kazi nzuri ya muigizaji huyu ha...
04/09/2024

Habari zenu wapendwa naomba muendelee ku subscribe channel yetu Kwa link hii mpate kuona kazi nzuri ya muigizaji huyu hapa anaitwa Nailah supoti yenu...bofya hapa youtube.com/channel/UCrLnwQpNj-p0w9t5id5je1g

Habari mpendwa kazi. Zangu rasmi. Nitaanza. Kuzionyesha katika channel yangu mpya hiyo please subscribe na share kwa mar...
01/09/2024

Habari mpendwa kazi. Zangu rasmi. Nitaanza. Kuzionyesha katika channel yangu mpya hiyo please subscribe na share kwa marafiki kwa filamu na tamthilia za kusisimua..asantee

Coming soon

Mwenye Nia haiyachi Nia yake ikawe siku njema mungu ibariki tansinia ya filamu Tz.. 🙏😀
31/07/2024

Mwenye Nia haiyachi Nia yake ikawe siku njema mungu ibariki tansinia ya filamu Tz.. 🙏😀

Mwaka 2016 nilianza kuandika hadithi ya filamu ambayo nilikuja kuirekodi Mwaka 2019 kwa kushirikiana na mtaarishaji fila...
18/06/2024

Mwaka 2016 nilianza kuandika hadithi ya filamu ambayo nilikuja kuirekodi Mwaka 2019 kwa kushirikiana na mtaarishaji filamu Toka Zimbabwe Charles Nyembe hadithi ambayo ilimhusu mwanamama anayeishi ktk hofu ya kumpoteza mtoto wake anayeishi na albinism kutokana na matukio mauaji yaliyokuwa yakiendelea ktk jamii kazi ya Sanaa ya filamu na uigizaji ni pamoja na kuibua maovu yanaendelea ktk jamii tukio la kifo Cha binti Asimwe linasikitisha na kuumiza bado sisi wasanii wataarishaji filamu tuna kazi kubwa ya kukemea kuielezea jamii changamoto hii ambayo ni ya muda mrefu na bado inaendelea kuumiza mioyo yetu ..

Taarifa nawapongeza wale wote waliyoshiriki katika usaili kulingana na mahitaji ya tangazo nililotoa siku chache zulizop...
06/06/2024

Taarifa nawapongeza wale wote waliyoshiriki katika usaili kulingana na mahitaji ya tangazo nililotoa siku chache zulizopita Kwabahati mbaya wapo wale waliyochelewa kuona tangazo bado wanaendelea kutuma maombi nawataarifu kwasasa maombi ya kushiriki yameshafungwa usaili ulishafanyika wahusika watakaofanikiwa kupita katika usaili watapewa taarifa mapema iwezekanavyo.. Asanteni

Je wewe ni Muigizaji umri miaka kati ya 19 na 32 unaweza soma script vizuri ukaonekana k**a husomi script ukawakilisha v...
31/05/2024

Je wewe ni Muigizaji umri miaka kati ya 19 na 32 unaweza soma script vizuri ukaonekana k**a husomi script ukawakilisha vyema hisia Yako nafasi hii ni Yako ni juze inbox tuma jina na namba Yako ya simu maalumu Kwa ajili ya watu wa Dar es salaam..Asante zingatia vigezo..

Wangapi wanasema tuitupe YouTube zikifika like 100 comment 50 inakwenda ....
20/04/2024

Wangapi wanasema tuitupe YouTube zikifika like 100 comment 50 inakwenda ....

26/06/2023
Don't change your goal change your plan..
18/05/2023

Don't change your goal change your plan..

Address

P. O BOX 80248 Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255767477052

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Harith Shurikin posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Harith Shurikin:

Share