27/09/2018
TIMIZA NDOTO YAKO LEO!
Dreams 2 Reality (D2R) ni mradi unao wasaidia watanzania kuvumbua, kurasimisha, kukuza, kuendeleza na kusimamia Vipaji/Taaluma zao, Pamoja na kuwaaunganisha wanachama wa mfumo huo, na rasilimali za kuwawezesha kutimiza ndoto na malengo yao!
Kila mtu anauwezo wa kutimiza ndoto zake lakini unakuta watu wengi wanakufa na ndoto zao, bila kutimiza ndoto au malengo yao, kwasababu ya kukosa vitu ambavyo sio vigumu kuvipata, na vingine huweza kupatikana bure!
D2R ikishirikiana na Wanene Entertainment na Swahili Digital, imechukuwa fursa hii, kuhakikisha kila mtu atakae weza kuona, na kuusikia ujumbe huu aweze kupata; taarifa, nafasi na rasilimali za kumuwezesha kutimiza ndoto na malengo yake.
K**a una taaluma au unakipaji cha: Kuigiza, Kuimba, Kucheksha, Kucheza, Kushona, Kuchora, Kuhariri, Graphics Designer, Stylist & Fashion Design, Audio Au Video Producer/Editor, Karibu NA Karibisha Wengine, kwenye fursa hii kupitia, “D2R System”.
Tumia dakika 2 tu kujaza fomu kwenye linki hapo chini, ni rahisi na unaweza ukaanza leo kutimiza ndoto yako.
Kwa usajili wa BUREE bonyeza link hio hapo chini... WAHI SASA, ZIMEBAKI SIKU CHACHE TU MSIMU HUU!
Jisajili BURE hapa: http://bit.ly/d2rForm au Bonyeza "Sign Up" hapo juu Kujiunga
Maelezo zaidi:
Follow : https://www.instagram.com/d2r.info/
Website: www.d2r.info
Whats app Bonyeza: https://wa.me/255782115321