Bongo Globe

Bongo Globe 📌THE HOME OF
HABARI NA BURUDANI. NEWS AND ENTERTAINMENT.

12/07/2024

Huko Nchini Ghana.
Vijana wakimuaga kijana mwenzao aliyefariki.

Una maoni gani?😳

11/07/2024

📌MWALIMU ALAWITIWA NA MWANAFUNZI WAKE

BG SP⚽RTS.Picha wazipendazo Wana Simba SC Tanzania😁
10/07/2024

BG SP⚽RTS.
Picha wazipendazo Wana Simba SC Tanzania😁

BG SP⚽RTS.Picha wazipendazo Wana Young Africans Sports Club😁
10/07/2024

BG SP⚽RTS.
Picha wazipendazo Wana Young Africans Sports Club😁

Je k**a maisha yako yangekuwa Hadithi inayoandikwa kwenye kitabu unahisi jina la kitabu lingekuwa lipi?
19/06/2024

Je k**a maisha yako yangekuwa Hadithi inayoandikwa kwenye kitabu unahisi jina la kitabu lingekuwa lipi?

📌ULIKUWA UNAIJUWA HII???!!!!Kutoka Japan, Chini ya  ardhi ya Tokyo, kuna mashimo matano mithili ya mabomba makubwa ambay...
18/06/2024

📌ULIKUWA UNAIJUWA HII???!!!!
Kutoka Japan,
Chini ya ardhi ya Tokyo, kuna mashimo matano mithili ya mabomba makubwa ambayo hujaa maji wakati wa mafuriko ili kulinda jiji kutokana na uharibifu wa mafuriko. Mfumo huu, unaojulikana k**a Mradi wa G-Cans, huzuia uharibifu mkubwa wa mafuriko.

05/06/2024

📌WAKAMATWA WAKIJIUZA MCHANA KWEUPE.

05/06/2024

📌MKUU WA MKOA WA TABORA MHE. PAUL MATIKO CHACHA, AKAMATA ZAIDI YA VITABU ELFU NANE (8,000) VYENYE KUFUNDISHA MAUDHUHI YA MAPENZI YA JINSIA MOJA.

K**a Mungu amekupa nafasi ya kuwaona wazazi wako wakiwa hai mpaka leo. usiache kushukuru ni baraka wanayoililia wengi ki...
04/06/2024

K**a Mungu amekupa nafasi ya kuwaona wazazi wako wakiwa hai mpaka leo. usiache kushukuru ni baraka wanayoililia wengi kila iitwapo leo.
Neno yatima lisome kwenye vitabu tu.
MACHUNGU YA KUMPOTEZA MZAZI BABA AU MAMA AU WOTE.. HAYAELEZEKI!!💔

Tucheke kidogo😂
04/06/2024

Tucheke kidogo😂

04/06/2024

UNAJIUA LUGHA YA KIINGEREZA AMA UNAJUA KINGLEZA?😂

04/06/2024

📌AFARIKI BAADA YA KUNYWA KITU KINACHOSEMEKANA KUWA NI KEMIKALI.

Address

198
Dar Es Salaam
456

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo Globe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share